Recent content by Ramesses II

  1. Ramesses II

    Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Una uhakika Wakurya ndani ya Idara ni wengi? wakurya wapo JWTZ. Idara iimejaa watu mababila yasiyo na watu wengi ndani ya JWTZ.
  2. Ramesses II

    Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Hii hoja yako ni mfu. Nani kakumbia wafanyakazi wa Idara wote lazima wale wasomi wa vyuo vikuu? Recritment ya Idara huwa inafanyika hadi kwenye ngazi za shule za Sekondary na mitaani pia. Hao wasomi wa ngazi za juu wanaohitaji siyo wengi kiasi cha kuhitaji kuwa na vyuo vikuu vingi. enzi za...
  3. Ramesses II

    Tusipochukua maamuzi magumu Taifa letu la Tanganyika litapotea kabisa

    Recruitemnt ya Idara huwa inafanyika hadi ngazi za shule za sekondary.
  4. Ramesses II

    ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Uturuki ndo nchi yenye nguvu ya Kijeshi Ulaya Mashariki na Nchi ya pili Kwa nguvu za kijeshi ndani ya NATO. Sema kupigana na Israel kunahitaji akili kubwa maana kimsingi atakayepigana siyo Israel Bali Marekani na wake zake akina Ufaransa na Uingereza bila kumsahau Kanada na Ujerumani. Mwenye...
  5. Ramesses II

    Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Wewe jamaa siku hizi unazingua sana. Lile jambo letu la Julai ndo imepeperushwa na upepo wa kisulisuli siyo? Vipi Oktoba bado hatoboi???
  6. Ramesses II

    GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    Albadin ile ya wakatoliki inawafanya wagombea bongo zao zisiwe na ushirikiano na lips. Kimsingi bila shaka trekta ni elfu 10 kama ilivyosomwa kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo. nasiyo Mil 10.
  7. Ramesses II

    GE2025 Kwenye Ilani na Ahadi za Mgombea Urais wa CCM, sijaona popote Sekta ya Kilimo ikitajwa kama kipaumbele

    Wewe humu kila mara unaisifia CCM Kwa miradi lukuki ya Umwagiliaji kama ambavyo Mwashamba akimsifia mama kila kukicha! Au unaona teuzi zinakupita kushoto pamoja na juhudi za kusifia hivyo umeona bwai bwai
  8. Ramesses II

    GE2025 Flatei Massay awekewa pingamizi Ubunge Mbulu

    Hilo pingamizi la Mbulu hawatashinda. Flatei atapigiwa kura. Sema hatatangazwa maana mwenye kutangaza ni CCM.
  9. Ramesses II

    GE2025 Kwenye Ilani na Ahadi za Mgombea Urais wa CCM, sijaona popote Sekta ya Kilimo ikitajwa kama kipaumbele

    Unayo Ilani au unasikiliza hotuba za kampeni za jukwaani? Soma hapa: Kuongeza tija katika kilimo 17. Kwa kutambua nafasi ya kilimo katika usalama wa nchi, ujenzi wa uchumi na kukuza kipato cha wananchi, CCM itaendelea kusimamia mapinduzi katika sekta ya kilimo ili kukifanya kuwa cha kisasa...
  10. Ramesses II

    Clement Mzize umemkosea heshima sana wakala wako, wachezaji wazawa ndio mana wengi hawafanikiwi kucheza nje ya nchi

    Mnataka aende uarabuni kuua kipaji kwa kukalishwa bench kama ilivyotokea kwa Miqson siyo na wengine siyo? Na kwamba aache mshahara mpya wa Mil. 35 aliopewa na yanga huku akiwa karibu na biashara zake na familia ili aende kwenye mshahara wa Mil. 40 za Kitanzania kule nje kwenye gharama kubwa za...
  11. Ramesses II

    Huyu mtabiri anasema tayari

    Maombolezo kuhus nani? Maana nchi ina viongozi wengi sana wa Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu wenye hadhi ya bendera kushushwa nusu mlingoti
  12. Ramesses II

    Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

    Duuh! Sipiendi aendelee lakini moyoni napata huruma. Namuona sawa kabisa na mama yangu mzazi. CCM wanatutia majaribu sana.
Back
Top Bottom