Recent content by Rambo man

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateuwa wakuu wa kada mbalimbali

    dah haya mambo acha tu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateuwa wakuu wa kada mbalimbali

    kuna jamaa anaitwa lumato aliteuliea juzi tu kotoka TPDC kuwa DG wa EWURA ndio maana nineuliza
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateuwa wakuu wa kada mbalimbali

    mkurugenzi ndio DG?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya kimafia

    ile report ya bandarini iliomuondoa kakoko iliishia wapi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akisimamia kweli na haki tutamuunga mkono kama tulivyomuunga Shujaa Magufuli, Maendeleo huletwa na WATU siyo Vyama!

    kwa kifupi sioni mpinzani anaweza nishawishi. Lissu alipiga sana kelele waki Jpm anachukua hatua sahihi kwenye madini. Mbowe alimuuzia chama lowassa, lipumba alisema shida ni chama ma si mtu, kwa hiyo lowassa was the right person. Mi naamini mtu sahihi yupo ccm ila sio upinzani
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

    hii inakusaidia nini kwenye unafuu wq maisha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunapambana Usiku na Mchana kutatua changamoto za vijana ikiwa ni pamoja na kuziwezesha sekta binafsi ziweze kutengeneza ajira kwa wingi

    kama yapi hayo mazingira, hebu watuambie ili tujue. Mimi nina kampuni ya consultation lakini kazi wanapewa foreigners
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    Pascal sikutrgemea kama ungeuliza swali kama hili. Mfano unasema bwawa limefika asilimia 32 na zimetumika bil 5, wakati kumbe bwawa limefika asilimia 52. Sasa hiyo asiliamia 32 ikifika 52 si hela zaidi zitakuwa zimetumika na utakuwa umepigwa. kwa maana hiyo bwawa linaweza kuwa limeisha lakini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

    wachukur sheria mikononi tu kama serikali imeshindwa kufanya kazi yake, simple.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    mbona wao wazungu wanaajiri wazungu wenzao wasiokuwa na uzoefu. punguza mihemko huna unachokijua kwenye hii sekta
  11. R

    JamiiForums Tanzania Majaliwa aondolewe Jeshi la Zimamoto na arudishe zawadi zote alizopewa

    hawa jamaa mimi ndio nawaonaga wajinga hapo tu. ok tuseme majaliwa karudishwa ziwani na zawadi zimerudishwa, je ndio changamoto ya maji, umeme nk vimetatuliwa?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    hahah, asiwe kama mzee wa nimekosa, tena nimekosa sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    hebu nitajie mawazir makatibu waki, manaibu ambao si wakwake amewarithi alafu ndio uje na hii hoja
Back
Top Bottom