Ni kwer lkn hakuna mtu anae penda kuwa nyuma ya mtu, na hao china na urusi wanaweza wakamnafikia marekani kwakuonesha kama vile wanamuogopa na kumuunga mkono kisha wakawa wanamsapoti. Kwa siri na kumchochea korea kaskazn ili ajichanganye wamdondoshe marekani ndo moja kati mbinu za kijeshi.
Nimewafatilia vzr na nikawaelewa unajua haya mambo si rahisi kama yanavyo onekana hawa jamaa walisha wahi kupigana na malekani hapo nyuma au zamani kipindi hcho marekani anatumia mwanvuli wa umoja wa mataifa. Anaweza kuishambulia N. K kisha akajikuta anapambana na china pamoja na urusi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.