Recent content by ramadhani samizi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Azam TV yakanusha kukwepa kodi ya ongezeko la thamani(VAT)

    Kimsingi azam sio public copy hivyo sheria ya makampuni haiwalazimishi kudisclose taarifa zao za fedha kiujumla ikiwemo kodi wanayolipa kwenye public hivyoo kwa watu ambao wana maarifa ya uhasibu na biashara wananiaelewa hivyo taarifa walioitoa ipo sahihi kabisa
  2. R

  3. R

    JamiiForums Tanzania Azam TV yakanusha kukwepa kodi ya ongezeko la thamani(VAT)

    Juzi wameingia ubia kuonesha ligi kuu bara dili kama la tshs 23b nauhakika hakuna mshindani wake mwenye uwezo wa kuweka mezani hyo hela.Jamaa wanammind maanankashawavuruga balaaa mpaka hawaamini
  4. R

    JamiiForums Tanzania Azam TV yakanusha kukwepa kodi ya ongezeko la thamani(VAT)

    Azam kimsingi ndo media copy ambayo inatingisha kwa sasa bongo hivyo lazima washindani wake wapagawe ukizingatia wapo muda mrefu kwenye industry lakini hawana ubunifu wowote wapo vilevle mwenzio ana kama miaka miwili tuu ypo juu kinoma
  5. R

    JamiiForums Tanzania TRA mko wapi? Selcom imeshirikiana na Azam Play TV kukwepa kodi (VAT) ya zaidi ya Bilioni 181

    Wachangiaji wengi wanaonekana wamechanganyikiwa tuu na maisha magumu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi MBA bado ina soko?

    Yani ukimaliza hii kozi lazima uhamasike kujiajiri mwenyewe kwani utaona kabisa umetolewa tongotongo usonii
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi MBA bado ina soko?

    Kupitia MBA unajifunza international trade, sales and marketing, corporate law, maswala ya accounting, bness management, economics, strategic planning, ujasiriamali
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi MBA bado ina soko?

    MBA kwa kipindi hiki ni muhimu ukizingatia sasa hivi kuna international trade kati ya Tanzania na mataifa mengine kati ya mtu mmoja mmoja wa tz na watu wa mataifa mengine so ni muhimu kuwa na maarifa ya biashara ya kimataifaa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Bongo utakuta Mtu babayake fisadi anamsomesha Mtoto wake akaajiriwe kama yeye aibee kwani walishakariri ukitaka ufanikiwe kaajiriwe na ufanye ufisadi safari ndefu tuliyonayoo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Mo nikijana anamiaka 39 hivi mpka akifika miaka 60 atakuwa na utajiri wa kiasi gani kijana kaandaliaa wacha mchezo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Mo anakwambia vision zake ni kuwa tajiri namba moja afrika na ikifika mwaka 2018 turnover za metl zifikie dollar 5 billioni kwa mwaka
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Matajiri mnaowataja kila siku wanalia wanataka serikali iwapendelee kwenye rasilimali za nchii sijawahi kumsikia mo mimii
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Miezi kama mitatu iliyopita metl wamekopeshwa kiasi cha fedha nilichokitaja na randmerchant bank s afrika ni tajiri gani bongo alishawahi kukopa kiasi hicho cha fedha kwa mkupuo bongo hapaa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Kama mtu anaweza kukopeshwa na bank sh 300 billion sasa huyo mtu ana asset za tsh ngapi kama zamana
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie bilionea namba moja Tanzania

    Utafiti unapingwa kwa utafiti kama venture magazine wamefanya utafiti wao kuhusu biashara za Mo wakakuta zina worth 2b USD na wanaopinga wafanye utafiti wao
Back
Top Bottom