Recent content by Ramadhani Kwilaula

  1. R

    Mwanza sio salama hata kidogo. Watu wanauawa kama wanyama Serikali iko kimya!

    Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Hats miaka ya nyuma waliosema elimu ya Tanzania inashuka walizimewa sana na kupuuzwa had I miaka ya hivi karibuni wabishi haohao walip anza anza kushuhudia baadhi ya wenye madarasa wakilishika gazeti juu chini. Matokeo yake ikawa kila mheshimiwa...
  2. R

    Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Tatizo sio kununua wapinzani bali tatizo ni kuwa-maintain huku ulikowaleta, maana ukibanu tu mkono watachurupuka na kurudi ulikowatowa wakajiunge na waliochukuwa nafasi zao ulipowatoa. Ulilielewa hili?
  3. R

    John Guninita arudi CCM akiihama CHADEMA, amwomba radhi Rais Magufuli

    na Na sasa anarudi wengi watapata mkopo.
  4. R

    Kwanini isitungwe sheria watoto wa viongozi wasome shule za kata, ili elimu iboreshwe na kuwa wazalendo wa vya ndani?

    Una maana wakubwa serikalini nao wawe kama mama lishe ambao wakipika wanaogopa kuharibu kwa sababu wapikacho wanauza na wao kula hichohicho na famlia zao.Mmh, all animals are equal, but some animals are more equal than others.
  5. R

    Tulikosea sana kuwafukuza wakoloni baada ya kupata uhuru

    Pole,ila ujuwe kila nchi iliyokuwa koloni, na hasa Afrika, INA tatizo la wananchi wake kupenda kujipongeza kwanza kabla ya kutekeleza wajibu wake. Matokeo yake katika kipindi cha kujipongeza mali ya umma in spores na mpotezaji wa mali hiyo anapokuja zinduka anachoanza kupigania ni kupoteza...
  6. R

    Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Tatizo ni matangazo yanavyo tolewa.Hawazingatii kipi aambiwe nani wakati gani.
  7. R

    Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

    Hivi wananchi walipewa ruzuku ndipoka Mzee mbona umetumia nyundo bab-kubwa namna hii ?
  8. R

    CHADEMA: Tumepokea taarifa za kujiuzulu mbunge wa Siha kupitia mitandao ya kijamii

    Hivi kujenga nchi yako sharti uwe mbunge ????? Lo wachumia tumbo kumbe hawana aibu mbele za nyuso za wapiga jura !!!!
  9. R

    CHADEMA wakiona picha/video kama hizi wanajifunza nini?

    Kwa bahati mbaya usani huu ni shimo kubwa litakalofukia na kupoteza kodi za wananchi.
  10. R

    Afrika Inahitaji Viongozi Wenye Maono kama Akufo

    Huwezi kufanya ufisadi kama hujaelimaka, maana popote pale duniani ufisadi ni directly proportional to the education of the fisadi. Uelewe tu kwamba athari za ufisadi wa sehemu husika zinategemea elimu ya wananchi waliopo sehemu husika,ambapo hali hii huwa indirectly proportional. Ndio maana...
  11. R

    Kwa hali hii ya kisiasa CCM mjiandae kisaikolojia kulipoteza jimbo la Segerea na mengine mengi

    Hasira za Nini ? Kuna haja gani kuficha majina ? Sisi-M tuliruhusu mfumo wa vyama vingi ili kuuthibitishia ulimwengu kuwa inji yetu ni kiziwi wa demokuurashia. Kwa hiya majimbo mengi injimaamushi ni kuyaweka chini ya upinzani ni kuonyesha kwa vitendo kuwa tunaheshimu maamushi ya watawala wetu...
  12. R

    Ukimya wa Lowassa kwa haya yaliyotokea uchaguzi mdogo wa Udiwani ni maana yake?

    Shukran kwa kulianzisha. Bila shaka tutasikia mengi kutoka kwa wanachama na wapenzi wa mageuzi kuhusu ukimya huu ndipo tutambuwe lengo la mwanasiasa huyu kuwapo CHADEMA.
Back
Top Bottom