Recent content by Ramadhani Juma Abdallah

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) anena haya baada ya kuyaona alipokuwa gerezani

    Kule ni chuo cha mafunzo alikoroge tena kirago chake bado kipo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimejenga nyumba lakini kabla haijaisha nikafukuzwa kazi

    Kauze upate mtaji acha maisha ya kutegemea binadamu jitegemee kwanza hiyo siyo nyumba ni kiwanja au tuite pagare sijawahi kuajiriwa sitegemei kuajiriawa nimejiajiri nakushauri ujiajiri
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Ulaaniwe tena ulaaniwe mara1000 kwa ulichomfanyia huyo mtoto wa mwanamke mwenziyo kama hii hadithi ni ya kweli
  4. R

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli amegusa ,,wanufaika" sasa moto kuwaka!

    Umeandika kama bata tulia ulete habari iliyoshiba hii haijajitosheleza
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    Mnyama kaua leo mapema
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya jinsi yalivyo pasua kichwa

    Unavunja watu mbavu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi maiti ni lazima kumvalisha sanda?

    Kwani wewe nilazima uvae Nguo? tembea uchi tukupeleke mirembe
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki yaacha vilio

    Ngoja niwahi siti ya mbele mkopo saa zingine ni bora uuze mwenyewe mali yako
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yahusu kufuta kauli

    Kwa mtazamo wangu kama hajakanusha vile maana nusu ni wapumbavu na nusu si wapumbavu nikama kasisitiza tu
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

    Wewe mipira unahadithiwa hata hauanglii krosi iliyo zaa penalti ulipiga wewe nini
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli azindua taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete

    Ungekuwa haujajificha nyuma ya keyboard tungejua wewe pia ni waovyo au wamaana jiheshimu acha kushambulia wazee wetu
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

    Casemiro huyo jamaa ni mchezaji wa sayari nyingine aise
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

    Wamebahatisha tu mzee
Back
Top Bottom