Recent content by Ramadhan Kidamane

  1. Ramadhan Kidamane

    Naweza kuoa mwanamke aliyetalikiwa na rafiki yangu?

    Brother kk ww oa huyo rafik yako tamaa za kimwil zmemwingia kutokana kuona huyo mwanamke yupo kwako hana mapenz ya dhat coz usiyawaze ya huyo mchepuko wake ww jaribu kuangalia mapenz yake kwako na familia yako khs kwenda kwa waganga ww ucjar Mtangulize Mungu utapata ulinz kutoka kwake hana...
  2. Ramadhan Kidamane

    Unaikumbuka sababu ya kuachana na mpenzi wako?

    Aswaaaaa yaaan hapo sawa coz mm aliniahid kua hawez kunisalit sababu kua mbal nae lkn mwisho wa cku aliniacha na kuanza uhusiano na mtu mwngne iliniuma lkn ilinibid nikaze buti kutafuta maisha wasichana sio kabisa mkuu
  3. Ramadhan Kidamane

    Mimi nimetoka wapi?

    Yaaan ni hatar
  4. Ramadhan Kidamane

    Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

    Ni kwel malez yanachangia lkn na nyie watoto wa kike unamkuta mtu mchafu kuanzia yy mpk chumba chake bt kama umempenda from inner part of ur heart una bud kumuelekeza ili kufanya kua couple inayofanana ingawa kumfundisha mtu mzima kaz bac unatakiwa utumie weled wote uliopewa na Wazaz pamoja na...
  5. Ramadhan Kidamane

    Nikweli hakatwi mtu anakatwa fisadi

    Ni vipi utaweza kuusimamia uchaguz wakat ww tayar ni mwananchi wa kawaida mkuu..!!
  6. Ramadhan Kidamane

    Msaka urais ndani ya msikiti

    Kwel kabisa hali za watanzania ni ngumu
Back
Top Bottom