Recent content by Ramadhan Kasim

  1. R

    Dar es Salaam Stock Exchange Now Part of Global Exchanges Body

    Hii ni fursa kubwa kwa wawekezaji kutoka nje na wa ndani ya nchi masoko ya hisa ya ndani na nje ya nchi.
  2. R

    Dar es Salaam Stock Exchange Now Part of Global Exchanges Body

    Dar es Salaam — The precision of trading processes and standards at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Plc has attracted the attention of international observers, granting the 23-year-old bourse a full membership of the World Federation of Exchanges (WFE). Established 58 years ago, the...
  3. R

    Tanzania’s president promises more democracy, better investment opportunities

    Hujanijibu swali na huna uhakika kama sifuatilii ama nafuatilia current affairs. Nahisi ungeziweka wazi hizo sheria kwa manufaa ya wote ili kuruhusu mjadala unaoeleweka.
  4. R

    Tanzania’s president promises more democracy, better investment opportunities

    Mimi sifahamu sana sheria .... Demokrasia ni sawa lakini lazima iwe na mipaka natamani kujua ni sheria ipi ambayo imevunjwa na raisi kinyume na katiba ?
  5. R

    Tanzania’s president promises more democracy, better investment opportunities

    As Tanzania continues implementing its industrial push, President John Pombe Magufuli pledges more democracy in government. He also promises that private sector interests in both Tanzania and the international community will have increased opportunities to invest in the East African nation...
  6. R

    Serikali yaweka Vipaumbele 8 vya afya 2019/20

    Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Wizara hiyo, Ummy Mwalimu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha mwaka cha wadau wa sekta ya afya kujadili vipaumbele vya utekelezaji kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. "Na hivi vipaumbele ndivyo ambavyo tutavifanyia kazi kama kuna mtu...
  7. R

    Mfumo mpya wa Visa na vibali vya ukaazi vya kielektroniki kukuza Diplomasia ya uchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua huduma za viza na vibali vya ukaazi vya kielektroniki na amewataka watu wote watakaopewa vibali hivyo kutii sheria kwa kufanya shughuli ambazo wameelekezwa kwa mujibu wa vibali vyao na si vinginevyo. Amesema utoaji wa huduma hizo ni miongoni mwa jitihada za...
  8. R

    Kuna haja ya Tanzania kuwapumzisha kwa amani (Mercy Killing) wagonjwa mahututi wa muda mrefu bila matumaini ya kupona?

    Kwa imani zetu tofauti tofauti hili swala sio jepesi hivyo kulitambulisha kwa jamii . Wengine watakwambia haya ni mapenzi ya mungu yanatakiwa yaachwe yatimie yenyewe....
  9. R

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP kununua mahindi ya Tanzania

    "26Nov 2018 Na Mwandishi Wetu Nipashe WFP kununua shehena mahindi nchini SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), limetangaza neema nchini kwa kusema lipo tayari kununua tani za mahindi 150,000. Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa akijadiliana na mwakilishi...
  10. R

    Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni

    Ndio nasema bora hata mtu akifa the remaining balance ya hiyo percent wapewe familia yangu. Maana kama utanipa 25% kumbuka inayobakia ambayo nimechangia ni 25% bado kuna 50% ya mwajiri sasa si bora kinachobakia kwenye 25% wapewe familia yangu. Mfuko ubakie na 50% ya mwajiri.
  11. R

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Kila utamaduni na uheshimiwe tumefika baba wa Taifa Mwl J.K angekuwa laini laini tusingefika hapa ...
  12. R

    Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni

    Hii haijakaa vizuri ... najitahidi kuwaelewa lakini bado bora hata nikifa muwagawie ndugu zangu kiasi chote kilichobakia ...!!
  13. R

    AirTanzania first Airbus A220-300 gaining shape

    Nenda kwenye twitter official account ya twitter ya Airbus utaiona
  14. R

    Wananchi na viongozi wa Afrika Mashariki wana mengi ya kujifunza kupitia mradi wa SGR wa Tanzania

    Hiii Reli ya kisasa mkombozi mkubwa sana kwa taifa letu . Itapunguza matumizi ya maroli ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha uharibifu wa barabara zetu. Itapunguza muda wa usafirishaji wa bidhaa, mali ghafi na mizigo mbali mbali na kukuza uchumi wetu.
  15. R

    Wafanyabiashara waomba kununua korosho

    Ina maana walikuwa wanapima kina cha maji na miguu yote miwili ?
Back
Top Bottom