Recent content by Ramadhan Jumbe Joho

  1. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Aisee ngoja nikareport, jamiiforum ndio basi tena
  2. R

    Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Bar mchawi location na madeni, hao wanaohama wanatabia ya kujenga mazoea na wafanyakazi mwisho wa siku wanakuachia crate tupu na madeni halafu wanahamia kiwanja kingine.
  3. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Baki navyo au unaweza kuwatumia familia yako na watu wako wa karibu
  4. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Wakuu hivi ni lazima kubeba tranka, na hivyo vifaa vya usafi au unaweza kununua hukohuko
  5. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Vipi mzee una mbanga wa uhakika?
  6. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ndio mzee, mjini mipango hapo kuna watu wanasubiri simu ziite
  7. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Second selection nafasi zipo kama una mbanga, hizo ni baba kanisend
  8. R

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nafasi ni 3000 lakina kuna za ziada 2000 za mjomba kanituma, ccp mpk mwezi ujao mjiandae vijana
  9. R

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sema hawa TTCL jau sana niliomba huduma yao May mwaka 2022 wakaleta nguzo December mwaka 2023 hawakutokea tena mpaka leo.
  10. R

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Inategemea na location mimi napata speed kawaida si chini ya 50Mbps na mpk 80Mbps wakati wa usiku.
Back
Top Bottom