Recent content by Ramadhan A Akili

  1. Ramadhan A Akili

    Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Inawezekana tena sana. Na akipiga hesabu huenda kwa alicho ingiza kinawazidi wengi walio ajiriwa. Kwenye kubett wengi hufail kwa ajili ya mtaji na tamaa ya kupata kikubwa.
  2. Ramadhan A Akili

    The dark side of business

    Daaaaah Ngoja tusubiri muendelezo
  3. Ramadhan A Akili

    Wajue Aina ya wateja unaowataka kabla hujafungua biashara yako, itakusaidia

    Ahsante Sana mkuu kwa madini, haya madini huwezi kupata kokote pale.
  4. Ramadhan A Akili

    Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

    Huku kwetu Faragha ya mteja haizingatiwi kabisa katika hii mitandao ya simu
  5. Ramadhan A Akili

    Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Always hujawahi Haribu mkuu natamani one day kukutana nawe mkuu,
  6. Ramadhan A Akili

    Jinsi dogo alivyo jitengenezea chain ya pesa. Kwa mtaji wa 70,000 tu

    Kweli kabisa mkuu. Mwenzangu na mimi useme uingie tu, hakika unaweza kuangukia pua na huto kaa uamini.
  7. Ramadhan A Akili

    Vitu vya kuzingatia wakati wa kufungua biashara

    Uzi mzuri sana kwa anaye tamani kufika mbali katika biashara.
  8. Ramadhan A Akili

    Vitu 10 vya kuzingatia wewe na partner wako ili muendelee kuwa masikini maisha yenu yote

    ENGLISH VERSION 1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up? 2. Never plan how to spend your money: Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to...
  9. Ramadhan A Akili

    Njia sahihi ya utengaji kipato kwa ajili ya maendeleo

    Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae. Tunashauri mtu afate njia ya 50%...
  10. Ramadhan A Akili

    Personal finance na njia zake katika kufikia mafanikio/malengo

    Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae. Tunashauri mtu afate njia ya 50%...
  11. Ramadhan A Akili

    Kipato changu kwa mwezi ni 150,000/- nipeni mbinu ya ku-save nami niondokane na umasikini wa kipato

    Personal Fınance, Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana. Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae. Tunashauri mtu afate njia ya 50%...
  12. Ramadhan A Akili

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Singo Mother aiseeeeeeh hapana. Wanajua ku pretend balaaa. Kwa vijana wenzangu ukitaka maisha yako yarudi nyuma we ishi na single maza. Yamenikuta najutaaa hata kuwasikia kwa kweli.
  13. Ramadhan A Akili

    Ukuzaji wa biashara

    Uzi Boro kanisa. Ahsante sana mkuu
Back
Top Bottom