Siasa na ushetani vinaendana sana hii ni michezo ya wanasisa mara makanisa kuchomwa mara kupiga mabomu kanisani mara kupiga mabomu mikutanoni hii ni michezo ya wanasiasa watanzania tuwe makini hakuna chama cha uzalendo kwa sasa hawa wote ni wa2 na tamaa zao
Lowasa ni mzuri ktk kutenda anatenda kila jambo kwa ukamilifu akisema atafanya implementation kama amenuia kuiba ataiba tu kama amepanga kufanya jambo la maendeleo atafanya kama alivyofanya shinyanga kuwaletea maji ki ukweli ni kiongoz mzuri lkn ninawaswas naye kwanini atumie pesa nyingi kiasi...
Si chadema si ccm wala chama chochote cha siasa kitaleta maendeleo kwa hvi karibun tanzania kila mtu wazo lake achote fedha akale na wanae nyumbani ccm walaji wanaeleweka ila chadema bado hawaeleweki na inaonesha wana njaa kweli siasa ya afrika bwana acha tu mara uislamu mara ukristo tunahitj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.