Recent content by Ralph Tyler

  1. R

    Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Sizitaki mbichi hizi! Maneno ya mkosaji tu hayo! Kama umeikosa hiyo kapambanie ya level yako, uzuri Mwenyezi Mungu kamjaalia kila mwanaume nafasi ya kupata hata ukikosa unachotaka utapata unachomudu!
  2. R

    Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Maneno ya mkosaji. Kama wewe umekosa hayo mambo mazuri basi vumilia na shida zako. Mimi nimeoa mwenye mzigo wa ukweli na sijawahi kujuta, miaka zaidi ya 20 sasa. Kila nikirudi nyumbani jioni baada ya kazi nikimuona tu najipongeza na kumshukuru Mungu.
  3. R

    Prof. Anna Tibaijuka: Mzozo wa kibiashara na Malawi, Pamoja na kuchokozwa kibao kitaigeukia Tanzania

    Nimeishi Ileje kipindi fulani. Watu wa kule huwa wanavuka mto kwa kamba kwenda Malawi kununua mafuta ya taa na kuja kuyauza Ileje. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mafuta ya taa yanauzwa bei nafuu kule Malawi kuliko Tanzania ingawa yote yanapitia Tanzania kwenda Malawi!
  4. R

    Kisa cha Kusismua CHA Jenipher Mgendi aliyopitia Akiwa JKT 1993

    Hiyo picha ametudanganya, unless aliazima sketi kutoka kwa wale maafande wa kike.
  5. R

    Nani alishagonga afande humu?

    Ndio naulizaaaaaa, kazi haiendelei au? Si tumesema kazi na utu? Utu ndio huu, kuwapa raha :D
  6. R

    Nani alishagonga afande humu?

    Any Updates? Au mnaogopa mambo ya "no reforms no erection"?
  7. R

    Kaskazini Ilitaka Kuwa Taifa Huru, Lakini Nyerere Akasema Hapana!

    Acha uongo na vihabari vya kuokoteza vijiweni. Ikulu ya Moshi ilikuwa ya wachagga, siyo ya kaskazini. Hilo eneo unaloita "kaskazini" halijawahi kuungana kwa ajili ya jaombo lolote tangu, siyo kabla ya ukoloni, wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru. Haijawahi kuwepo harakati yoyote...
  8. R

    Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa

    Watuwekee video yenye mazungumzo yao tusikie alichosema waziri
  9. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Kwa mtazamo mwingine, naona kama Rais Mnangagwa amefanya makusudi ili avuruge fikra za wapiga kura huko tukose hiyo nafasi. Hao hao SADC ndio waliomkosesha Odinga nafasi ya uenyekiti wa AU kwa mbinu ya kugawa kura.
  10. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Hii salamu wala siyo udini, na kama ina dini basi inafaa kwa dini zote. Tafsiri yake ni kumtakia amani anayesalimiwa. Kwani kuna mtu asiyependa amani? Hata katika Biblia imeandikwa Yesu alipokuwa akiwatokea wafuasi wake aliwasalimu "amani iwe kwenu", ndiyo "assalaam alaykum". Lakini ukisalimia...
  11. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Msisahau kuwa hayati Magufuli alifanya hayohayo, kuhutubia taifa na kutoa misimamo yake ya kazi akiwa madhabahuni. Mara kwa mara alipoenda kusali kanisani, baada ya ibada alikaribishwa kuongea na waumini, na hotuba zake hizo zilirushwa kwenye tv zikaenea nchi nzima. Kama tunachukizwa na tabia ya...
  12. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Kwani cardiology si ndiyo yale masuala ya moyo ambayo Dr Janabi yamemweka kwenye media akawa maarufu? Siku zote nimeamini kuwa Dr Janabi ni cardiologist kama yule mzee wa kihaya aliyekuwaga na hospitali pale Sea View, Prof Lwakatare.
  13. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Kuna wakati tulisemeshwa kisukuma kwenye mikutano ya hadhara! Na tukaaminishwa kuwa wasukuma peke yao ndio "wazarendo" halisi wa nchi hii!
  14. R

    Kituko kutoka Zimbabwe: Tanzania yatambulika kama Islamic Republic (Jamhuri ya Kiislamu ya Tanzania)

    Wasahihishe mambo mawili: 1. Jina la Jamhuri yetu ni United Republic of Tanzania 2. Jina la waziri ni Mahmoud Thabit Kombo Halafu wataje chanzo cha kukosea (source of error). Je, ni waziri huyo alijitambulisha hivyo? Je, ni waziri huyo aliitambulisha hivyo nchi yake? Ninachoshangaa zaidi...
  15. R

    PreGE2025 RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Ni kweli wazazi hawahusiki, lakini kuilaumu serikali ni sahihi kwa kuwa tunailipa kodi. Ukimlipa fundi akurekebishie mlango wako lakini akasepa, hautamlaumu?
Back
Top Bottom