Recent content by rajamore

  1. R

    Paypal Petition

    Yaani ni shidaa mkuu, yaani kelele zote malalamiko yote haya hawajayaona tu tangu 2015
  2. R

    Paypal Petition

    Wadau huu mchakato umeishia wapi?
  3. R

    Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

    Aisee huu ugonjwa una big controversy, nimefatilia kwa ukaribu historia ya huu ugonjwa na kusoma vitabu zaidi ya 10, articles nyingi na kuangaliia documentary nyingi. Nimefatilia facts za hawa waanzalishi wa hii nadhariia ya HIV/AIDS (Defendants) na pia nimefatilia facts za wanaopinga hii...
  4. R

    Rais mstaafu Ali Hasan Mwinyi alipoondoka madarakani serikali ilikuwa imefilisika!

    Kama mtu hauna facts ni bora kukaa kimya tu, kuliko kudhihirisha udini wako kwenye isssue za msingi.
  5. R

    Muziki unalipa, Davido anunua private Jet yake

    Aisee! hebu acheni utani nyinyi, mkuu unasema hiyo ndege ina thamani ya usd 250M, huo ni utajiri wa Christiano Ronaldo, Messi, Beyonce na mastaa wengine, Davido hajafikia hata utajiri wa USD 50M, je inawezekanaje kununua ndege ya USD 250M?
  6. R

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    Ni kweli, unajua tatizo la hii nchi sio tu kiongozi, mfumo pia ni tatizo kubwa sana
  7. R

    Hatersgodown Tshirt

    Jipatie quality T-SHIRT upeleke ujumbe kwa wote wanaokuchukia. Bei (REJA REJA) ** TSh: 20,000 kwa Kila T shirt moja Bei (JUMLA) ** T shs: 18,000 kwa kila T shirt moja COLOUR White, Black, Red, Chocolate, Grey, Navy (Blue). Mawasiliano: Free delivery popote ulipo ndani ya Dar es...
  8. R

    Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    Now, I hv proved, ukitaka kujua kwamba hii nchi ina udini tembelea forums.
  9. R

    Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam

    Mkuu hapo kwenye mtaa swahili umekosea kidogo, hauanzii kariakoo shimoni, umeanzia fire pale kwenye junction ya morogoro road na umoja wa mataifa
Back
Top Bottom