Write your reply...hivi alhad nani kampa ushekh wa mkoa??? hivi dar amekosekana shekh mpaka alhad akawe shekh wa mkoa ??? mana Mimi simuelewi kwenye mambo mengi mno alafu anapenda sana kupindisha aya mfano Allah anasema tiini mamlaka za juu za kiislam lkn yeye haoni neno za kiislam lkn...
Write your reply...ibada ni haki ya Msingi kwa kila mwenye dini regardless serikali haina dini lkn haka kamsemo sio sahihi mana kanapotosha watu, ila ni jambo la kheri waislam kuwa Na msikiti mana uislam ni usafi tofauti Na wenzetu popote pale wanaeeza kusali atakama darasani lkn uislam lazima...
Write your reply...mh nilinunua eneo la kiwanja cha nyumba tangia 2013 nikajenga lakini mwaka huu amejitokeza MTU anadai ni eneo lake hii imekaaje kisheria mana niliuziwa Na MTU Na tuliandikishiana ofisi ya kijiji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.