Throughout history, societies have employed storytelling as a powerful tool to convey moral lessons and shape societal values .From the grand myths of antiquity to the theatrical enactments of Ancient mystery schools and even the rituals of secret societies, these narratives have served as...
Ndiyo kiongozi,kama ambavyo nakala inafahamisha ni kuwa wajerumani walimimina kemikali hizo kwenye bonde la ufa la afrika mashariki.Bonde la ufa kupita tanzania haimanishi imepita tanzania nzima,hapana! kuna mikoa limepita na mikoa mengine halijapita mfano wa mkoa ambao bonde hilo linapita ni...
Hemiptomia ni nakala ambayo ndani yake utakuta mambo ambayo mtu yeyote haswa mtaalamu au mtumishi wa serikali hawezi hawezi kuthubutu kukufahamisha. Ni mambo ambayo hayafahamiki lakini si kwa kua hayupo anayefahamu haya, lahasha! wapo wengi sana isipokuwa tu yanafanywa kuwa siri kwa manufaa yao...
Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman.
Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato, wantanzania wenzangu wanavyo tiririkwa na jasho lao kutafta mahitaji yao kwa nguvu zao na kwa njia...
1 light year(ly)=9.26×10¹² km=92.6 ×10¹⁴ m.
Where;
Km is kilometre, m is meter,ly is light year.
Note;
Light years measurements are applied for the greatest astronomical distances
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.