Ni kweli ndugu yangu kampuni nilioajiriwa mwisho saa 3 usiku kuendesha gari but ni mimi pekee ndio nimepewa ruhusa ya kubadili kukata masaa ya mcha mchana kuyaongeza usiku na
Ilibaki kidogo nipoteze ajira
Kwani kabla ya kupewa ruhusa nilifosi kubadilika na likizo yangu ni mwezi wa sita...
Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu
1. Sipati usingizi napohitaji kulala
Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo gani ili uupate usingizi?
Maana nimejaribu mengi bado nipo palepale. Mimi ni dereva na kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.