Recent content by raisi wa 2020

  1. R

    Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    Sasa ni kama wiki mbili ama tatu,jiji la dar es salaam limezingilwa na madege ya kijeshi,huku yakitoa sauti za kutisha,je kuna tukio gani hasa kwa hivi karibuni,na kama mazoezi mbona kuna mapori mengi huku.
  2. R

    Regency Hospital kwanini isiwe hospital ya Taifa badala ya Muhimbili?

    Regency is the best hospital,ila tu inazidiwa na wagonjwa mana inanafasi ndogo sana,na serikali haina msaada wa kitu chochote mana unaposhikwa shikilia lakini wapi
  3. R

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Dah!! naomba mungu wananchi waelewe dhamira nzuri aliyokuwa nayo mh.Mbowe juu ya nchi yetu Tanzania,Hawa JAMAA phd holders ni corrupt na watanzania wawe nao makini sana tena sana,hakika mtu kama LIPUMBA itakuwa ameshaongwa tena pesa nyingi tu.ogopa wapinzania wenye unafiki ,shangaa...
  4. R

    CCM waanza kampeni mapema kabla ya muda wa NEC, watuma ujumbe mfupi kwa watu

    mahakama zenyewe magumashi,nao wapo kwenye kampeni
  5. R

    CCM waanza kampeni mapema kabla ya muda wa NEC, watuma ujumbe mfupi kwa watu

    HATIMAYE WAMEISHIWA MUDA HUU NATUMIWA SMS NA CCM KUPITA NAMBA YANGU YA AIRTEL,UJUMBE UNASEMA "mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli, ahaidi kutatua matatizo ya watanzania kwani anayajua huku Risi Kikwete akisisitiza ushindi ni lazima. http;//simu.tv/Oe1DI6:Youtube ......................" NASEMA...
  6. R

    Kufungwa kwa Vituo Vidogo vya Polisi Saa 12 jioni, Nani ana jukumu la kuwalinda Raia?

    Hii ni hali ya kushangaza sana,na pia ni dalili ya serikali yetu kuchoka,nimeamini wapinzani pale Bungeni wanaposema serikali imechoka. Yaani kituo cha polisi kimegeuzwa kama duka kufunguliwa saa mbili au tatu asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili jioni. Hii ni Dar es salaam, Kama Kamanda Mkuu...
  7. R

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    lazaro anatoa maneno ya biblia kwanza kutoka kitabu cha esta
  8. R

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    Ana anza na utambulisho wa mkewe na kumpa masifa mengi mkewe
  9. R

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    mchungaji anasema alitabili kuwa mwaka wa 2015 rais\waziri mkuu atakuwa kutoka singida
  10. R

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    hivi nyalandu ameingia na mkewe,na ya moto band wanaburudisha,now sala za viongozi wa dini
  11. R

    Great Thinker, shauri kuhusu vyanzo vya mapato (Kodi) Serikalini

    Wewe kama great thinker, naomba leo tujadili swala la vyanzo vya mapato ambavyo serikali yetu aidha imevisahau au haijui kama vinaweza kuza Pato la Taifa, naomba uorodheshe vyanzo vya mapato (kodi) ili tuisaidie Tanzania.
Back
Top Bottom