Mkuu ni kweli sale inauwanda mpana inategemea na kampuni unayokuwa nayounaifanyia kazi pia kwenye hilo unakiwa unatafuta masoko na kutangaza bidhaa kwa Wateja ambao awajafikiwa na Huduma hyo mkuu na kuhusu swala la mtoto sijasema nisaidiwe kutafuta.
Elimu yangu kidato cha nne, certificate of business administration, uzoefu wa kazi sales and marketing, mkufunzi wa vicoba, naishi Gongo la mboto jiji dar es salaam, nimeoa ila sina mtoto wakuu.
Habari za muda wanabodi wote natumaini ni wazima wa afya njema pole na majukumu ya hapa na pale.bila kupoteza muda kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nakuja mbele yenu kuomba msaada wa kimawazo na vitendo ili niweze kufanikiwa.
Mimi ni kijana naishi jijini dar es salaam...
Ushahidi wa kesi inayomkabili mwanafunzi, Abdul Nondo umeendelea kutolewa kwa upande wa Jamhuri kupeleka mashahidi wengine wawili kati ya wa nne.
Miongoni mwa mashahidi waliotoa ushahidi jana, ni pamoja na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Nondo, Veronica Fredy (22) mkazi wa Igunga mkoani...
Habari wanabodi natumaini wazima wa afya njema. Kama kichwa habari hapo juu kinavyojieleza, naomba msaada kwa mtu yeyote aliye na Email za haya makampuni naomba anisandie, makampuni ambayo ni
(1) TBL.
(2) SBL.
(3) Coca cola...
Natumaini wazima Wa afya njema wanabodi, kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi, Elimu yangu ni ngazi ya cheti cha biashara na utawala ( Certificate of business and administration) pia Nina uzoefu wa kazi mbalimbali kama kuuza kwenye vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.