Recent content by Rais wa monduli

  1. R

    JamiiForums Tanzania HESLB pesa za mikopo zinatumika Dodoma.

    mlimani washapewa na hapa MUCE tumesaini mzigo unaingia kesho j3.wanavyuo wa sehemu nyingine kueni na subira ila mumbane loan officer wenu awape taarifa kamili.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

    kusign na kupewa pesa ni vitu tofauti
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jamani inakuaje mpaka mtu anapangiwa kuwa mkufunzi vyuo vya ualim nchini

    hiyo ni kwa waliosoma bed na sometimes kujuana kunahitajika
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii habari kutoka HESLB ina ukweli?

    kusign na kupata hela ni vitu viwili tofauti
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

    kiukweli wenzangu wa mlimani campus mmewahi sana kuandaa kunji wakati tar 8 haijafika kwanini tusiwe na subira ili tujenge hoja ?tusubur kama itazidi tar 8 ndo tujue tutafanyaje.hata hapa MUCE hali ni mbaya lkn mda haujafika .tusikurupuke tutakosa ushahidi na kuishia kupigwa na ffu na kufukuzwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM Kuanza Mgomo Na Maandamano Yasiyokoma - Jumatatu, Tarehe 5 May

    hata huku MUCE hali ni tete mlo mmoja per day
  7. R

    JamiiForums Tanzania Picha 11 za Rais Masikini kuliko wote duniani na mambo 9 yanayomuhusu

    huyu rais ni conservative kama ndo mzazi wako we jua utaishia kumiliki baiskeli tu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    unasoma chuo gani kijana na kitivo gani pia?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

    haijalishi coz kifungo kitaisha tu!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

    we ------- huna ushaidi afu unazungumza?embu nenda monduli kajionee hadi kwenye miamba na milima bara bara zimefunguliwa kuunganisha vijiji.na mambo chungu nzima!!!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Saut-Mwanza Semista ya Pili inaanza Kesho

    wanna saut mnatabu xana ila vumilieni tu tutabishana ila mwisho wa siku kila MTU atafurahia maisha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    hawa diploma wanatabu sana undo maana Matafia na uniform zenu.walim wa degree ni multipurpose.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Udsm-muce.

    mi pia nipo muce lkn jamaa angular unantia Ainu kulalamikia kitu cha sh.9000 .sham. e on you books and stationary umehonga au?
  14. R

    JamiiForums Tanzania unyonge na uvumilivu wa wanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe umekua Mateso kwao

    hata wanamuse walitaka kutuzingua tukajiandaa kugoma ghafla ATM zikajaa.ila kueni wavumilivu wandugu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

    chezea lowasa ww
Back
Top Bottom