Huku ndo nasema kuharibu kazi za watu na kuchafua taaluma za watu mkuu kwa maana maelezo yako yanaonesha unafanya kazi zozote za coding hujali ubora wa kazi unachojali ni pesa huu ni utapeli mkuu, hata logo tu kwa designers wazuri hicho kiasi hakikubaliki iweje kwa code languages??
Hii ni...
Ushauri wangu wa bure tafuta kampuni nzuri uingie nao mkataba watakusaidia achana na vya urahisi vitakusumbua REMEMBER unaweza tengenezewa hiyo ya urahisi ikawa ina spy kazi zako na kutuma feedback kwa wahusika bila ww kujua mwisho wa siku wakahack na ukaibiwa,
makampuni yapo mengi sana...
Mkuu kwa hili hauko sahii unaua taaluma za watu, sina hakika kama ww ni mtaaluma wa hiyo kitu bali mdandiaji android app ya personal Tsh 100,000/=????
Mkuu unatumia code za programing nizijuazo kudevelope hyo ktu au ndo wale wa WYSIWYG (wht yo see is wht yo get) unadrag tu templates na...
Kwa usalama na amani ya Tanzania kudumu ni bora wakubali kuachia ili wajipange vyema wakati mwingine wa uchaguzi, amini niwaambiayo wasipokubali mwaka huu wajiandae kuwa mizogo na familia zao, binafsi mwaka huu sikubali upumba.vu wa aina yoyote kama kuhujumu au kuchakachua matokeo, LAZIMA...
Mkuu kama umesoma hicho kitabu vizuri utangundua lengo lake kuu ni kutaka kuwashawishi wakristo kuwa anafaa kuongoza nchi kwani amekulia ukristo toka utotoni, ndio maana amemtumia padre katika kuandika kitabu hicho huku kikijazwa picha kadhaa za wanafunzi wa shule zilipo chini ya uongozi wa...
Mkuu nilikuambia achana na zile pedi za bure za CCM ni hatari kwa afya yako umeona sasa zimekwsha kuathiri tayari, ndo nini hichi sasa umepost hapa ndugu yangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.