Recent content by RAINFORCEMENT

  1. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Kila nikitaka ku run games na other program, Pc yangu inaniandikia VGA IS MISSING! ivyo sasa sijui tatizo ni nini pia haiwezi kubadili brightness yani inaumiza sana macho kwa mwanga mkali.. Natanguliza shukran
  2. R

    JamiiForums Tanzania Need for speed world..!!!

    Jaman mm mbona hizi gemu hazikubali kwenye pc yangu yan nazitaman balaa.. Naombeni msaada jaman mwenye ufahamu
  3. R

    JamiiForums Tanzania ndo nimekosa mkopo au?

    Jaman naombeni msaada wa namba hii s1110/0018/2009
  4. R

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Msaada wadau wa haraka s1110/0018/2009
  5. R

    JamiiForums Tanzania Selection for form five kwa mara ya pili mwaka 2013

    Jaman mwenye kuweza kuya2pia hapa atusaidie maana wengine tunatumia simu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania greetings

    dah hii nimeipenda jaman hahahaha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Law LL.B

    Vip jaman bachelor of law ya udom nayo ni tight maana nackia ni kumeza vifungu eti ni kweli
  8. R

    JamiiForums Tanzania New... ARDHI UNIVERSITY TUKUTANE HAPA....!

    Hostel sio kwamba 2nashare ila ni kutokana na uhaba wa hostel hapa chuoni xo inalazimika kwenda kutafuta m2 ambaye unamfahamu huko mabibo ili akubebe au ikiwezekana akuuzie chumba....
  9. R

    JamiiForums Tanzania New... ARDHI UNIVERSITY TUKUTANE HAPA....!

    Kwa nijuavyo continous wanafungua tarehe 14 mwez wa kumi na fist year tareh 7 wanaanza orientation...... Izo registration form hata msiwe na haraka nazo we njoo zinapatikana hapa hapo chuon kwa bei ya cop tu... Hapa chuo ishu kubwa ni hostel ndo hazitosh lakini mpango wa kitabu ni poa 2.....
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    Hahahah man omy dah huyu m2 kitambo sana
Back
Top Bottom