Recent content by Raindrop

  1. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kwamba waendelee kufanya mabadiriko kwenye biblia?
  2. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Mkuu sijakuewa
  3. R

    Macho ya kiroho

    Kuanzia saangap?
  4. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Hiyo hofu wewe umeijuaje,umeitoa wap, kama sio kwenye vtabu ambavyo ww unasema vimeandikwa na binadam? Maana walisoma wakajua makatazo ya Mungu na ghadhabu zake ndio wakaja kukuambia wewe nawe ukaelewa ukapata hofu
  5. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Jina lako linaendana na akil na fikra zako,huwez ukawa unaitwa wa stand alafu ukawa timam
  6. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kama unaukarbia ukweli hiv, mana umeeleza kwa mapana yenye uchache, maana kama kingeandikwa wazi kila kitu kwenye biblia sizan kama tungepata nguvu ya kusoma maana ungekuwa mzigo wa kitabu, lkn pia tumefichwa mengi na vingi mnooo vmebak kuwa siri tuuu maaana kama tungewekwa waz vyote sijui...
  7. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kwanza nmesikia kuna kikund cha watu (mataifa) viongoz wa dini inafika wakati wanakaa na kujadiliana kuandika biblia kama ilivyo fanyika mwaka 187's nmesikia lkn kwamba biblia ilirekebishwa sasa hapo mm ndio huwa sielew tuuu inakaaje hiii.!
  8. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kwan mbingun ndio wap? Mana ukizid kwenda unajikuta unapotelea huko na ukitua basi unajkuta upo sehen tofaut na uliyokuwa au juu kuna mwisho kwamba ukifika hapo kuna namna ya kuingia huko kwengine?
  9. R

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kwan dunia kuna mahali au pahara imejishikiza?
  10. R

    Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

    Kwa ndan dawa unapakaje kiongoz? Mbona kisanga hiki
  11. R

    Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

    Sasa kwa ndan unapakaje wewee
  12. R

    Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

    Tatzo n kwamba nmekaa na hilo tatzo kwa miaka mingi sana kama kumi hiv sikuwa na maumiv yoyote, na kinyama nkaona n chakawaida tuu baadae baada ya kuingia humu ndio nkajua kuwa nna hilo tatzo maana nnacho kinyama, yaan nna ya nje na ya ndan TATIZO N KWAMBA USUGU WA TATZO LANGU had naona tabu tuu...
  13. R

    Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

    Kwa bawasiri ya ndan ntawezaje kujitibu?
  14. R

    Hospitali gani nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe?

    Vip kuhusu mafuta ya habat soda au black seed
Back
Top Bottom