Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili.
Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi tu tusitengane, au asione nimejali kazi zaidi yake, lakini alinitia moyo na kuniambia niende...