Recent content by rahmatullah

  1. R

    Natafuta kazi...

    Ndugu zangu, naombeni kazi yoyote iwe ya kwenda na kurudi, elimu Kidato cha Nne, naweza upishi, kufua. Pia, duka aina yoyote na uwakala Niko Kilimanjaro/Mwanga
  2. R

    Natafuta kazi kazi ya usafi, upishi au kuuza duka nina elimu ya kidato cha nne

    Habarini ndugu wana jf, Niko hapa nina shida natafuta kazi yeyote usafi, kufua , upishi, kazi ya duka aina yeyote Nina uzoefu nazo, elimu yangu kidato cha nne. Napatikana Moshi/Mwanga nisaidieni.
Back
Top Bottom