Recent content by RAHA KAMILI

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu kufanyika Iringa Novemba 10 - 12

    Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri ataka walimu kuchangamkia fursa

    Waziri ataka waalimu kuchangamkia FURSA. Sekta ya benki imepiga hatua kubwa sana Nchini Tanzania kwenye miaka ya 2000. Umuhimu wa sekta hii ndio ulimpelekea Waziri Suleiman Jafo kuwataka waalimu Nchini Tanzania kuchangamkia FURSA ya mikopo na huduma ya benki yao ya Mwalimu commercial bank ambayo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tasnia ya urembo na vipodozi ilivyoathirika na tishio la janga la Corona

    Tasnia ya urembo na vipodozi nchini imepigwa sana na tishio la Corona nchini. Ingawa serikali imetangaza kufungwa kwa vyuo vikuu na mashule, maafisa wa afya bado hawajatoa miongozo au kuamuru vizuizi vyovyote kuhusu saluni za nywele, wakiwemo vinyozi, watengenezaji kucha, makeup artists...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya hisani kwa ajili ya kuchangia mahitaji ya watu wenye ualbino

    Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania kwa pamoja na Tanzania Cosmetology Association Fashion Association of Tanzania [FAT] na Feza Alumni Foundation tunayo furaha kubwa kuufahamisha umma wa watanzania kuwa tunaandaa mbio na matembezi ya hisani yatakayofanyika siku ya jumamosi tar 07 Machi 2020...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msimu wa familia marathon wazinduliwa jijini dar es salaam

    Mazoezi ya Familia yapigiwa chapuo. Mbio za Marathon zimekuwa ni sehemu ya Maisha ya watu wengi hasa mijini na kwa kiwango kikubwa imechochea sana kuboresha maisha ya Watanzania wengi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Familia Marathon Balozi wa Familia Marathon Veronica Kundya alisema “...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo atua Kenya tayari kwa kazi

    Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewasili mjini, Nairobi Kenya tayari kwa pambano lake la Kimataida dhidi ya bondia kutoka Argentina, Eduardo Gonzalez lililopangwa kufanyika Machi 23 kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (Kenyatta International Conference Centre).Mwakinyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tarimba atoa onyo kwa Simba na Yanga michuano ya Sportpesa

    Bado wiki moja imesalia michuano ya SportPesa Super Cup 2019 iweze kuanza ambapo kama ilivyoripotiwa awali, michuano hiyo kwa mwaka huu itaendelea kuhusisha timu za mataifa ya Kenya na Tanzania kama ilivyo kawaida lakini Bingwa wa michuano hiyo atapata nafasi ya kucheza na Everton katika ardhi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SportPesa CUP: Singida United na Bandari FC kufungua dimba

    United imepangwa kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Kaimu bingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Bandari FC, katika michuano ya SportPesa Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kwa msimu wa tatu mfululizo kuanzia Januari 22-27 katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam. Ratiba hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA WAMKABIDHI JOSHUA MBISSE WA KING’ORI ARUSHA BAJAJI YAKE,

    Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa imeendelea kuzunguka huku na kule na kipindi hiki ni zamu ya Jiji la Arusha.Hapa anakabidhiwa mshindi wa droo ya Joshua Mbisse wa King’ori Arusha ikiwa ni kutokana na mafanikio ya ubashiri aliouweka kupitia SportPesa Kwa njia ya USSD yani *150*87#Akipokea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania MKAZI WA MOSHI AJISHINDIA BAJAJI KWENYE PROMOSHENI SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA

    Zuberi Maeda wa Kiterini, Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kukabidhiwa Bajaji yake Zuberi Maeda (19) alibahatika kuibuka kuwa mshindi wa droo ya 71 ya promosheni ijulikanayo kama Shinda Zaidi na SportPesa inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa. Timu ya SportPesa ilifika...
  13. R

    JamiiForums Tanzania MAHAFALI YA PILI YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

    Wahitimu wa Chuo cha Urembo cha Manjano wametunikiwa vyeti katika nyanja ya urembo na vipodozi (Cosmetology). Baadhi ya wahitimu waliofika kwenye mahafali hayo walivikwa taji kama ishara ya mafanikio ya kitaaluma, na kuweka alama kwenye hatua muhimu katika maendeleo yao ya kitaaluma kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Michuano ya sports pesa super cup mbao fc yaalikwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Sports Pesa Tarimba Abas akizungumzia michuano ya Sports Pesa Super Cup inayotarajiwa kuanza Januari 22 mwaka 2019. Na Zainab Nyamka,Globu ya jamii KLABU ya Mbao FC inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara imealikwa kwenye michuano ya Sports Pesa Super Cup inayotarajiwa kuanza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SportPesa Yabadili maisha ya Watanzania Kupitia Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa

    Kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa inaendelea kubadili maisha ya watanzania kwa kutoa zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa. Promosheni hii inawawezesha watanzania kutoka mikoa yote kujishindia zawadi kama Bajaji, Jezi ya Simba na Yanga, simu za mkononi...
Back
Top Bottom