Waziri ataka waalimu kuchangamkia FURSA. Sekta ya benki imepiga hatua kubwa sana Nchini Tanzania kwenye miaka ya 2000. Umuhimu wa sekta hii ndio ulimpelekea Waziri Suleiman Jafo kuwataka waalimu Nchini Tanzania kuchangamkia FURSA ya mikopo na huduma ya benki yao ya Mwalimu commercial bank ambayo sasa inawawezesha kupata huduma kupitia matawi, ATM.
Mwalimu Wakala na Mwalimu mobile popote Tanzania. Akizungumza wakati wa kuzindua huduma ya Mwalimu Visa Card Waziri Jafo alisema kwa waalimu ambao wanalenga kujikomboa kiuchumi ni vizuri wakatumia huduma za Mwalimu bank kwani sio tu inawapa mikopo nafuu lakini pia inawajali kabla ya ajira na baada ya ajira yaani wakistaafu.

Mnataka wakope, kwa nini msiwalipe madeni wanayowadai? Himiza ulipaji wa madeni na sio kuwaingiza kwenye madeni yenye riba zinazozidi kuwadidimiza kiuchumi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.