Recent content by Ragnar Lothbrok

  1. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara mwenye Uhitaji wa Frem na Una Mtaji

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo nayo ni mbinu nzuri sana Respect.
  2. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Mradi wa miti ya mbao

    Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
  3. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Mradi wa miti ya mbao

    Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
  4. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Bei gan kwa sasa alizeti
  5. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Bei za Mpunga na Mahindi

    Habari za Majukumu, naomba kujuzwa bei za mahindi na mpunga Kwa gunia la debe Saba hasa kipindi hiki cha mavuno katika eneo ulilopo.
  6. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

    Duuh sio mchezo
  7. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Zao la karafuu mkoani Morogoro

    Ninaomba kupata taarifa juu la zao la karafuu kwa mkoa wa Morogoro, ni sehemu gani inapatikana na bei yake kwa Sasa. Asante
  8. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Tatizo halianzii Kwa huyo shemeji yako Bali linaanzia Kwa mkeo mwenyewe, ukimfukuza shemeji yako bado tatizo lipo pale pale hizo dharau zimeanzia Kwa mkeo japo nahisi hujazigundua au hajaziweka wazi bado ila ni suala la muda tuu.
  9. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Naanza upya na biashara ya Nafaka rejareja, nipeni Muongozo

    Nakushauri chukua bidhaa moja tuu kwanza mfano mchele, kama kuna uwezekano kuchukulia chaka kabisa sio kwa hawa wa mjini huko utapata Kwa bei nzuri sana. Nimekushauri uchukue bidhaa moja kwanza Kwa sababu -mtaji ni mdogo na ni vyema wakati unaanza ubaki na pesa kidogo ku push biashara yako...
  11. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

    Duuuh hatari sana
  12. Ragnar Lothbrok

    JamiiForums Tanzania Looking for Wife to Be

    Habari za Majukumu, Nahitaji mwanamke alie serious tufahamiane tukiridhiana tabia awe mke. 1. Awe Mkristo na Mcha Mungu 2. Awe muajiriwa au mwenye shughuli zake binafsi 3. Umri 28-30 Sifa zangu 1. Mkristo RC 2. Miaka 32 3. Nimeajiliwa ktk taasisi binafsi Mengine tutafahamiana zaidi baadae.
Back
Top Bottom