Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo.
Misitu Katika Ufugaji Nyuki
Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
Sababu ya nyuki kufa katika mizinga yako inaweza changiwa na sababu mbalimbali
1. Ni kuwepo karibu kwa mashamba ya ya mazao ambayo yamepuliziwa dawa, nuuki uweza kuzipata izo dawa wakati wakiwa wanachavusha mazao hayo na izo dawa kuwaletea madhara.
2. Kuingiliwa na ugonjwa.
Izo ni baadhi ya sababu
Kuna sababu nyingi ambazo huweza kusababisha vifo vya nyuki katika mzinga, moja wako ni uwepo wa matumizi makubwa ya kemikali katika kilimo karibu na mizinga. Lakini pia sababu ni nyingi ambazo lazima uone kwa undanj zaidi. Tungependa kuona picha zaidi. Au wasiliana nasi.
Samahsni sana kwa kchelewa kujibu ujumbe wako. Ningependa kukuambia kua unaweza kufuga nyuki katika mashamba ya mikorosho bila wasiwasi na pia nyuki watasaidia kuchavusha mikorosho yako. Nigependa kujua izo kemikali za salfa huwa mnatumia muda gan na sehemu gan ya mti wa mkorosho.
Rafiki Asali tunakusaidia kwanza kukagua eneo lako na kukuelimisha jua mizinga gani inayotengenezwa kwenye miti inayopendwa na Nyuki kwaajili ya mizinga. wasiliana nasi kupitia mamba 0758789956. kumbuka si kila mti unaweza kutumia kutengenezea mizinga
hata usijali kuhusu mtaji sababu shughuri ya ufugaji Nyuki huwa inaanza na kuendelea taratibu taratibu. Rafiki Asali tunatoa nafasi ya kumuanzishia na kumsimamia mradi wake mkulima na kumshauri nini cha kufanya katika miradi ya ufugaji Nyuki.
Lakini pia kutokana na Mfuko wa Misitu kutoa ruzuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.