Recent content by Rafia

  1. R

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Kusema kweli mimi nilijifunzia kwenye semina. Nilijifunza ndani ya siku moja nikaamua kujaribu. Kwani ww upo mkoa gn?
  2. R

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Kwa kweli hiki ni kilimo kizuri sn coz hakihitaji mtaji mkubwa sn na kwa wale wenzangu ambao tunaishi kwenye nyumba za watu unaweza ukaotesha ht uvunguni kwako. Mm niliotesha wa majaribio baada ya kupata mafunzo uliota vzr mno sasa nataka nianze rasmi.
  3. R

    Ubuyu Mtamu wa zanzibar pamoja na visheti vitamu.

    Tunauza ubuyu mtamu sn kutoka Zanzibar. Bei poa kabisa ni sh 1,500. Kwa watu wa moshi unaletewa popote ulipo. Bei ya visheti ni 1000
  4. R

    Ubuyu Mtamu wa zanzibar pamoja na visheti vitamu.

    Tunauza ubuyu mtamu sn kutoka Zanzibar. Bei poa kabisa ni sh 1,500. Kwa watu wa moshi unaletewa popote ulipo. Bei ya visheti ni 1000
  5. R

    Natafuta vifungashio

    Habari zenu wapendwa.mimi ni mjasiriamali mdogo ninapack bidhaa mbalimbali zikiwemo ubuyu, visheti na tambi. Lkn changamoto yangu kubwa ni vifungashio. Naomba kwa anaejua vinapopatikana anijuze plz
  6. R

    Ubuyu wa zanzibar

    Jamani natafuta ubuyu wa zanzibar. Mi nipo moshi. Nipm tufanye biashara
  7. R

    Mafunzo ya utengenezaji Sausages na vitu/vifaa vya kutengeneza

    Ice Cream ni simple kweli ngoja nitakuelekeza
  8. R

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Asante sn ndg yangu
  9. R

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Wapendwa naomba mwenye kujua zinapopatikana mbegu za uyoga anijuze tafadhali nina shida nazo.mi nipo moshi.tnx
  10. R

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kubadilisja kituo niende Arusha Meru wewe uje Moshi manispaa.kama uko tayari niPM.
  11. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    mi nipo moshi 2tafutane
  12. R

    Mwenye ujuzi jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki

    Kwenu wanajamvi.naamini mu wazima.Ninatamani kujua jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki kwa pembeni sbb huwa ninaona nyuzi nyuzi lkn sijajua jinsi zinavyotengenezwa. Naomba mwenye ujuzi ktk hili anisaidie tafadhali nina kiu.
  13. R

    Natafuta soko

    Habari zenu wanajamvi.natafuta soko la viungo vya chai km mdalasini wa unga na mchaichai wa unga.
  14. R

    Jamani naombeni ushauri.

    asante mkuu kwa ushaur wako bt maeneo nilipo hakuna mwamko wa elimu kivile so tuition inakuwa ngumu kdg.
  15. R

    Jamani naombeni ushauri.

    kwanza napenda kuwasalimu.na poleni kwa majukumu.Nimekuja hapa jukwaan kuomba msaada wa mawazo.Mimi ni mwajiriwa wa serikali(mwl) kipato changu hakikidhi mahitaji yangu ya kila cku.napenda sn kijishughulisha lkn bado cjapata pa kujishikiza walau niingize ht 1000 kwa cku ktk muda ule ninapotoka...
Back
Top Bottom