Recent content by Raff rider

  1. R

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

    Kama una mtaj wa perfume komaa ukuze mtaj uuze dawa za kutibu binadam
  2. R

    JamiiForums Tanzania Trump ni mhamiaji asiyependa wahamiaji.

    Kama anafanya ivo kisheria ni poa t kwani watu wakimbilie huko? Nawashauri watanzania tupambane kujenga nchi yetu tukiwa hapahapa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Naskia et Hata wachungaji wa ng'ombe na mbuzi Kuna wakizidiwa wanapona humo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

    Duuuh inachanganya hii Jose kawa ivo!??
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

    Cas nao ni kama TFF tuu apo ipangwe ck kipigwe tena mpira wetu unaitaj busara t, kanuni hazijawah kuzngatiwa Kikamilifu hapa bongo. Kuanzia juu huko TFF mpaka ndani ya mchezo unakutana na referees wa ajabu kina Kayoko. Hii ligi unafiki na vichekesho bas
Back
Top Bottom