Hapa cha msingi ni kuona vitendo na maswala mengine ya kimaendeleo yafanyika!! Muhimu si kupokezana uongozi. Nadhani alipowaifikisha Rwanda Kagame ndo wanyarwanda wanajivunia!!
Kuna watu wanaandika bila kufikiria vizuri! Tusijitie aibu watanzania jaman, udogo wa nchi si udogo kimaendeleo na mengineo! Ni sawa na kusema eti Japan si lolote kwa maana ya udogo!!! Tupunguze pumba kichwan jamani. Na kujifunza kwa jirani kwa lolote zuri si vibaya!!
Nadhani kufuta kifaransa haikuwa tu sababu za ufaransa kuwa implicated ktk mauaji ya kimbari, kuna sababu kadha wa kadha, kiingereza kupanda chati ni sababu za kiuchumi vilevile. Kwa sasa haina maana eti kiingereza kitafutwa, no no!! Itakiuwa siyo nchi sasa!!
Lakini sioni hatari kuwa Rais fulani amefanikiwa ktk maendeleo na raia wakamuhitaji!! Na i think kuna mafanikio kemkem nchini Rwanda, waachieni uhuru wao wamchague wamtakao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.