Recent content by radavi

  1. radavi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani kweli na leo huku kimara baruti tusio na majenereta na hela ya kwenda baa kama sio vibanda umiza tusiangalie timu yetu ya taifa kweli?
  2. radavi

    Mentality ya kukataa Dodoma ni hiyohiyo hutumika kukataa kufanya kazi vijijini

    Haaaa zamu yetu wakazi wa dsm kula pdm tulichoka kila kitu hapa tu
  3. radavi

    K Vant na tatizo la kusahau

    Hata mimi imeshanitokea sana na niacha kabisa kutumia kvant
  4. radavi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hawa jamaa wanatia hasira sana kwakweli watu tumejipanga kukaa majumbani wanakata ni shida hawa watu Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
  5. radavi

    Hapa ni kata ya Nkuhungu iliyopo katikati mwa jiji la Dodoma

    Sijakuelewa hata mkuu
  6. radavi

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hivi hamjawahi japo kufikira kuwapelekea maji wakazi wa kisopwa wakati bomba limepita karibu yao?
  7. radavi

    Sheria inayolinda bendera ya taifa, adhabu za papo kwa papo bila ya Mahakama

    Simama ndani ya mita mia huu ni utaratibu ila ukikahidi si unawajua hawa wenzetu adhabu zao usitegemee mahakamani hapo
  8. radavi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kweli Kuna muda mnaonekana kikwazo hivi leo weekend watu wanatulia na familia zao majumbani mmeukata umeme tokea saa nne kimara baruti hakuna umeme tatizo nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. radavi

    Je, anayekataza watu wasijisaidie hovyo huku hajaweka vyoo vya umma anategemea nini?

    Hujaelewa nini hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. radavi

    DOKEZO Hili la maiti kulipishwa madeni Hospitali za Serikali limekaaje?

    Pole sana mkuu ila mmezidi sana mbona private mnalipa kabla ndio mnapata huduma? Iweje hospital za serikali ndio muone kitonga yana mdhaminiwe bado kulipa unaleta utata ulitaka alipe nani? Ukizingatia Ni mapenzi ya mungu kama siku imefika..Pia hiyo hospital maskini mnaionea Kila siku mitandaoni...
  11. radavi

    Hivi kuna siri/mahusiano gani kati ya pilau au sherehe /sikukuu fulani

    Si ujinga mkuu hii kitu inaendana na uhalisia. Zamani ugali ulichukua nafasi kubwa sana kiasi kwamba ukipikwa wali nyumba fulani watoto wa majirani hawabanduki maeneo hayo na ilizoeleka huwa unapikwa siku maalamu. Sasa kwa kitu pilau lenyewe ilizoeleka katika matukio maalum haswa kipindi cha...
  12. radavi

    Ukitegemea mshahara ni vigumu kuukutanisha na mshahara mwingine

    Kwa wale wenye ajira zao mimi siku nyingi nakesha kufukuza ngedere na ndege
Back
Top Bottom