Hyo ni DSLR na haikuwa designed kurecord video kwa muda mrefu. Hyo limiti ya 30 minutes imewekwa kuzuia overheating sababu haikuwa designed kufanya hyo kazi kwa muda mrefu.
Kinacho matter zaidi ni size ya sensor. Ndio maana unakuta 48MP zingine zinazidiwa quality na 12MP sensors. Kma camera ya 108MP itakua na sensor size ndogo kuliko ya 48MP, hyo 48MP itakua na quality nzuri ila resolution ndogo.
Screen protector zililetwa kuzuia michubuko kwenye kioo cha simu kwasabab ukiipasua au ukiiscratch kuibadilisha ni bei rahisi kuliko kubadili kioo hali cha simu kikiwa scratched.
Zina umuhim wake kwa wasiotaka kuscratch kioo cha simu kwasababu utakiscratch tu siku moja. Ni swala la muda
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
Kma una hela ya uhakika nenda Tigo shop, vodashop, airtel shop, nk.
Kma hufikii hyo hela kuna jamaa huyu hapa 0752521143. Wana duka Sinza. Unapewa na risiti na warranty ila ni zile refurb
Ila ushauri ni kwenda kwenye maduka husika ya simu mkoa uliopo.