Ni chakula. Na sio chakura.
Huu utumbo ulioandika hata kama ni supu haiwezi kufaa kwa "chakura" chochote.
Hebu soma tena halafu mtumie mwalimu wako wa vidudu akuelezee nishati ya wadudu kwenye "chemia" ya viumbe
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana.
Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa. Nimefanya mazoezi tangu mwaka jana mwezi august lakini mpaka leo nayaona kama yanaongezeka tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.