Recent content by Rachel Mashishanga

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza basi Heicher

    Hahaahaaa haya njoo uchukue..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza basi Heicher

    45m..maongezi yapo lkn
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza basi Heicher

    kama unahitaji Ni PM..iko barabarani..sasa hivi inaenda posta - gongo la mboto
  4. R

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

    Nilikuwa narekebisha thread ya Deus Mallya,na si vinginevyo mkubwa! Maana kasema ni moja wa mawakala ndo kaumia wakati si wakala aliyeumia,hope nimesomeka
  5. R

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

    Maaskari wamechelewa kwenda site na hivyo CCM wakamwaga vijana waliokuwa na visu na makombeo huku wakinywa viroba,katika Hali ya kawaida tu hapo virugu lzm! Otherwise watu wanaendelea kupiga kura ila Nina wasiwasi Kama polisi hawataongeza ulinzi wakati wa zoezi kuicha tutachinjwa ovyo!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika uchaguzi wa madiwani, 28 Oktoba 2012 katika kata mbalimbali

    Wakuu huyo kijana kang'olewa meno na Yuko hospital ya mkoa! Hali bado si shwari kwa kweli huku! Na si wakala ni mwana CHADEMA tu! Mawakala wanaendelea na kazi zao vizuri.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

    Mchezo unachezwa na GAKI na Gulam mtoto wa Meya
  8. R

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

    Nimepigiwa simu saa 11 alfajiri, nikajaribu Kimpigia simu mkuu wa kituo cha polisi, lkn kwa maelezo yake alikuwa Hana taarifa kuhusu tukio Hilo. Polisi hawajafanyia kazi taarifa tulizowapa mapema, kwani viongozi wa CCM wamedhamiria kuhakikisha wanatumia vijana wao kwenye kata hiyo ili wafanye...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    Pamoja sana!! Tumuombee Afya njema tu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    Kamanda ni ushindi hapo,na Dr Slaa ndo anakwenda Kumalizia kumsukuma mlevi!!!!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    niko dar kamanda,narudi ijumaa,ila wapo makamanda wangu itakuwa live bila chenga
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    Sasa hivi hakuna cha ndoho tabu kamanda!! Wamesimama si mchezo
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

    Hakuna ubishi hapo kamanda
  14. R

    JamiiForums Tanzania Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

    Niko tayari kaka
  15. R

    JamiiForums Tanzania Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

    Obheja sana, Yupo tu!
Back
Top Bottom