Recent content by Rabson Nzelu

  1. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa pikipiki

    Mambo vipi wadau Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
  2. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Kusubirishwa miezi mi 4 kupata leseni ya udereva, shida ni nini TRA?

    Hivi hii adha ya watu kusubirishwa mpaka miezi mi 4 sasa kupata leseni ya udereva, shida ni nini huko TRA? Je, ni hizo material kama watu wanavyosema au ni nini? Mwenye ufahamu na hili swala naomba jibu.
  3. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    toa mfano wa iPhone ipi iko juu kwa samsung ipi ya S series
  4. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Unaweza ukailinganisha iPhone 6plus na S6 edge kweny swala la camera?
  5. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Mkuu unajua usiwe unafanisha iPhone ja J series za samsung. Jaribu kufanya comparison ya iphone na S series kuanzua s6 edge....
  6. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    unataka kuniambia mfano hii s6 edge plus nliyokua nayo ..ikiflashiwa siipat tena,huwa wanabadilisha IMEI si ndio au? kwamba nkitaka niifatilie sim sitoipata...? na je wanaweza wakabreach security nliyoiweka na kusoma vitu vyangu wakat wanaiflash?
  7. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    mkuuuu hii s6 edge plus ni moto wa kuotea mbali
  8. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    hapo sawa....wamekutana wote wababe na watem.
  9. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    Ni kwel unalolisema....ila mim nafikiri pia jamaa alikua na point...Utem ni ule tu ubavu wa kwamba yeye ni mmarekan na tunamtegema kwa mengi ...ni sawasawa na familia zetu za kiafrika,familia nying unaweza ukakuta bwana mdogo anasinzia sebulen...afu mamamtu anamwambia akalale lakin dogo anabisha...
  10. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    whats wrong with tecno? unajua kuna siku nlishangaa sana,kuna jamaa alikua ana Tecno phantom 8,akatokea mtu ana iPhone 5,kuna mtu pemben akaibeza ile phantom akisema "iPhone sim bwana,tecno ule uchafu tu". Ndo haya mambo ya kukariri kwamba kila iPhone ni expensive
  11. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    unajua huwa najaribu kufikiria.....hiv kwel taifa kubwa lenye vyombo vya ulinzi na usalama kama marekani...washindwe kudukua iPhone...hahahahahahahahahah ni sawasawa ushindwe kufungua chumba cha houseboy wako et tu kisa funguo kaenda nayo dukan na nyumba ulijenga wew.
  12. Rabson Nzelu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa simu nauliza ipi ni simu star au bingwa kitecnologia kati ya iphone na sumsung

    April mwaka jana nlinunua iPhone 7. Uchakavu pia unachangia na matumizi Samsung nliyonayo inatafuta mwaka wa3 sasa,sijawah kuipeleka kwa fundi,simu zangu huwa situmii cover ya aina yoyote...ila uchakav wa hii samsung uko kawaida tu. kiukwel nkiilinganisha na iPhone 5 ambayo nliitumia miaka...
Back
Top Bottom