Recent content by Rabonn

  1. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Hapendelei mambo hizo kabisa yf. Na imagine tunaishi kwenye jamii hiz hiz za kizaramo, ila yeye hayo mambonya mashuhuri hutakaa umuone. Sijui ma sare na mavitu hayo walaaah!!
  2. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Tako liwepo sasa, sio uvae kijora af kiwe kama kimetundikwa kwenye "henga"
  3. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Wife ana mzigo wa kwendaaa.. kifupi ana tako ndembe ndembe
  4. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Kiaje tena mkuu mbona unanitisha?
  5. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Hana kabisaaa...halalii vijora, analala na chupi kipind cha barid ila zaid ya hapo ni tunalala uchi chiiiiiii
  6. Rabonn

    Aambiwa mume wake analazimisha kuingiliwa kinyume na maumbile, afanye nini?

    Kwahiyo ephen_ siku hiz ndio umekua huna akili kiasi hiki
  7. Rabonn

    Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Mke wangu hanaga hizi taka taka. Hata 1 hana
  8. Rabonn

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Ahahahah Dahhh!!... braza umenikosea ujue. Mimi ni mjasiriamali niliacahana na ajira rasmi 2020 June, na kwa nature ya biashara yangu naweza nikakaa home hata mwezi mzima na pesa ikawa inaingia bila tatizo, most of the time i preffer to work from home ofisin mengine yanaendelea labda nilazimike...
  9. Rabonn

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Mkuu nina zaid ya mwaka tokanniache haya mambo. Na kiukwel toka niamue kutulia ndio naona hiz kero zake zinanisumbua, mwanzon hata nilikua sijali akinikera ila sasa nimeamua kutulia yeye anataka kunirudisha nje tena
  10. Rabonn

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Nafanya sana. With my kids.. kuna time nakua natenga muda kufanya hizo kazi tena mara nying sana lengo ni kuwafabya madogo wasiathirike na tabia za mama yao.. ni shida sana mkuu
  11. Rabonn

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    Akina min -me ahahahah..kwel bwqna kuna time kama wanakua wana make sense ila kama inakuja halaf inakataa
  12. Rabonn

    Je kuna nyumba Tanzania zimejengwa cavity wall na thermal insulation in

    Tosa boys high school,iringa wajeruman waliijenga hivyo ile shule
Back
Top Bottom