Recent content by RABIN GHYOOT

  1. R

    Je, Maandamano ya CHADEMA yana uhalali kisheria?

    CHADEMA wanataka kuandamana kwasababu wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara ya kuzunguka nchi nzima. Swali la msingi la kujiuliza ni je mikutano hii ya viongozi wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima baada ya uchaguzi ina uhalali wa kisheria? Au swali jingine la kujiuliza ni kuna tofauti gani kati...
  2. R

    John Shibuda kuanzisha chama chake cha siasa au kuhamia TADEA

    Joachimu Mwingira jifahamishe sababu za SHIBUDA kuchukiwa na uongozi CHADEMA. Ukizijuwa hautakuwa na wasiwasi na SHIBUDA. =>Shibuda alikubali matokeo ya urais kabla ya CHADEMA kukubali alafu CHADEMA wakakubali. => Shibuda alikubali kumtambua rais kabla ya CHADEMA kumtambua rais alafu CHADEMA...
  3. R

    Shibuda kuondolewa CHADEMA leo

    => Shibuda alikubali matokeo ya urais kabla ya CHADEMA kukubali alafu CHADEMA wakakubali. => Shibuda alikubali kumtambua rais kabla ya CHADEMA kumtambua rais alafu CHADEMA wakamtambua urais. => Shibuda alisema posho ni muhimu wakati CHADEMA wanasema zifutwe; alafu CHADEMA wakaona posho...
  4. R

    Kwanini Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA?

    Kuna mtu anaitwa Salum kuna siku hapa alituelimisha juu ya hili. Nimemnukuu (copy n paste) hapo chini: Uzuri wa Mbowe ndio huo huo ubaya wa Mbowe na uzuri wa Shibuda ndio huo huo ubaya wa Shibuda. Tuliya nitakufafanulia. Faida ya Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ni kwamba CHADEMA inakuwa na...
  5. R

    Do we really have no sufficient time to conduct referendum?

    Finally we have sm with substance. This is healthy discussion/debate, bear in mind Sitta has just introduced electronic vote. Now a Member of Constitution Assembly can vote even when he/she is in abroad.
  6. R

    Kuchokwa kwa chadema (chadema fatigue)

    Haya maandamano ambayo CHADEMA wanataka kufanya ni kipimo kizuri cha kuwaangalia uwezo wao wa kuhamasisha watanzania. Na pia kama watanzania wamewachoka. Mpaka sasa hivi hatujaona uthibitisho kwamba watanzania wamehamasika kufanya maandamano au kugoma. Hata humu Jamii Forum wanaoleta taarifa...
  7. R

    Uhalali wa migomo ya CHADEMA

    Ukisoma "Tanzania Daima" la jumatatu, tarehe 15th September 2014 ukurasa wa mbele unaona kichwa cha habari "Migomo, maandamano bila ya kikomo nchi nzima", "Mbowe aonya sasa basi, amshukia Sitta." Pia ukisoma "Tanzania Daima" la jumatano, tarehe 17th September 2014 ukurasa wa tano unaona kichwa...
Back
Top Bottom