Wazungu bwana jamaa anakuja kupigania ushoga ndio makubaliano yake na hao waliompa hifadhi, kumuunga mkono mdudu kama huyu nikumkosea muumba wambingu na nchi navyote vilivyomo.
National team sio team ya Kalia kama kunamtu ka support Uganda jana basi huyo sio mtanzania wakweli lakini ndio ujinga wa bahadhi ya watu ndio maana Manara anasema hamnazo wenye akili wawili tu pale
Mimi kama mimi siamini kamakuna wapinzani tz kwani uchaguzi ukiisha wanasema hawamtambui Rais baada yamuda wanasema wanataka kuonana na Rais kwahiyo nashindwa kuelewa labda mnisaidie kwani mimi sijui siasa kwasasa tunasema subilia 25 tutasema subilia 30 kilasiku nihivo lakini for my opinion CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.