Recent content by Rabbi asante

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa Marian university college Bagamoyo tukutane hapa

    Cjui ,,,ila Mimi nitahamia hapo ,,,,nikitokea UDOM,,,na nitakuwa course hiyohiyo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa Marian university college Bagamoyo tukutane hapa

    Umechaguliwa course gn?, mkuu,,
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

    Kwa kutokea Dodoma ,,ipi? Inaanza chalinze au mlandizi,,na ni wapi? Patakuwa na unafuu wa nauli ,,means , fr chalinze to Bagamoyo, au mlandizi?to Bagamoyo,,,,,kwa vyovyote vile nadhani anayetoka Dodoma to chalinze/mlandizi ,,nauli yake inalingana ,,na wa Dom to Dar,,,nikimanisha ,,,popote...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

    Public transport,, nenda rudi,,,kwa kenya ,,wanauita ,matatu,,,,,aina ya gari zinazofanya route hizi Mara nyingi ,, ni coaster,hiace .nk,,na nauri zake huwa ni ndogo,,b/ cause they just work within the same area of town..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

    Mpk hapa ,,nimeishapata majibu,,,,nawashukuru sana Wana jf,,yote kwa ujumla wenu..🙏
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

    Asanteni sana....kuja na bus la mpk Dar ,,then kuchukua Daradara to Bagamoyo,,,na Hilo la moja kwa moja ,,,,ni ipi ?,,njia ya kuwahi zaidi,,,,natanguliza shukurani.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

    Sawa,,Mimi ni mgeni ,,nisaidie ,,Basi,,,,either,,,nikitoka Dodoma ,,nishukie wapi?,,natokea mkoani nitashida hapo ,,Dodoma then Ndio niunge kwenda huko,,,,,
Back
Top Bottom