Hizo statements mbili hapo chini zinatisha hi ni kumaanisha hali ni mbaya sasa kama wachina wanakiri hili basi ujue hali ni mbaya kwa nchi nyingi za ulimwengu wa tatu. Naamini kuna kitu kinafichwa na nchi nyingi kuhusu hali ya uchumi ila naamini mwakani kuna bomu kubwa sana la kiuchumi linaenda...
Haya yanayoendelea ni katika mchakato wa kuzaliwa tena kwa dola la kirumi dola lenye nguvu kubwa na infact ndo litatoa mtawala atakayetawala dunia nzima na ndo litakuwa dola la mwisho ambalo infact nalo litaangushwa. Kwa hiyo ili dola la rumi lizaliwe tena lazima watokee viongozi wenye wivu na...
Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2. 1GD-FTV automatic 2755 CC
ni ipi bora kwa maana ya
1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
Mchina mwenyewe kufika hapo ni sababu ya techs za US na Europe, mchina huyu mwenye watu wengi ambapo inabidi wale mpaka popo eti ndo avimbe na US?
Mchina kwa US bado sanaa.
Tatizo watu wanaandika wakiweka mahaba mbele.
Putinya tokea vita ianze mara kibao linatishia russia ina nyuklia russia ina nyuklia🤣😂😆 utafikiri wenzake wana manati
Na sasa zele anamgonga nje ndani.
Mahaba niue shida kwelikweli russia iishinde USA? Hii russia inayosaidiwa na iran (drones), north korea (missiles) na china kuikabili ukraine? Hii russia iliyouza alaska kwa USA, hii russia iliyomeguka from soviet baada ya akili kubwa ya USA kuimaliza USSR?
Russia kamwe hana ubavu wa kuishinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.