Recent content by R100

  1. R100

    JamiiForums Tanzania msaada

    Naomba kusaidiwa hili swali la kiswahili kwa anayejua. SWALI......Athari hasi na chanya za fasihi simulizi katika kufaraguza fasihi andishi ya kiswahili ya hivi leo
  2. R100

    JamiiForums Tanzania Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

    Sasa ndugu kama chuo wameshakuambia haifai si ndio jibu hilo
  3. R100

    JamiiForums Tanzania msaada

    Kuhama ni simple sana lakini kama una mkopo utasota sana maana mm yalinikuta hayo lkn saiv na enjoy maana heslb walishauhamisha na saiv naingia third year
  4. R100

    JamiiForums Tanzania Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

    Hilo swali ingekuwa vizuri ungewaliza moja kwa moja chuo ulichopangiwa ndugu
  5. R100

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Ni kweli lakini wakaribie sana, na wale pia wanaosema chuo bata wakaribie sana wale hao bata
  6. R100

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    First year banah, mbona chuo kitu cha kawaida sana...tatizo mna mawenge sana
  7. R100

    JamiiForums Tanzania Hivi ukipewa loan unaweza pewa na boom

    Boom ipo ndani ya loan ndugu
  8. R100

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ulienda chuo kufata nini au ndio ulienda kutafuta sup
  9. R100

    JamiiForums Tanzania selection udsm

    Ndio mbona lipo tawi la SAUT Arusha
  10. R100

    JamiiForums Tanzania selection udsm

    SAUT ARUSHA
  11. R100

    JamiiForums Tanzania Mikopo

    Mikopo ya maji au, nyoosha maelezo
  12. R100

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

    Jana
  13. R100

    JamiiForums Tanzania Waliofanya transfer

    Naomba mnisaidie kwa hili je waliofanya transfer mkopo wao wanaweza wakaupata baada ya mda gani na je baada ya kuhakikiwa na TCU tutajuaje?
  14. R100

    JamiiForums Tanzania Nini kinahitajika katika transfer ya chuo?

    Je na kwenye loan itakuwaje?
  15. R100

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mkopo

    Naombeni msaada nimefanya transfer lakini leo nimeangalia kwenye account yangu ya loan nimepata mkopo,je nitaupata mkopo wangu katika Chuo nilicho hamia?
Back
Top Bottom