Mpaka sasa wahusika washapata ujumbu wa kutokukubarika, binafisi ni ngumu kupoteza muda eti nikapange foleni ya uchaguzi. Wakurungenzi, watendaji na wasimamizi wakiwemo washika mitutu tayari wanamaelekezo sasa nikafanye nini? I'm at home fulstop!
Kusamehe ni agizo shariti uwasamehe adui zako ili upunguze adui na kuongeza marafiki, hiyo ndio kanuni ya Mungu. Wote wanaotoka ccm tushawasamehe kilichobaki ni kupambana kuliondoa zimwi ccm
Chedema inapendwa asikwambie mtu, ukipita mtaana ni gumzo kila mtu chadema hiyooo ikulu. 2015 hadanganyi mtu, tupo speed kubwa ukikaa barabarani utasagwa-sagwa. Ccm wanatapatapa wataishia copy and paste ya UKAWA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.