Recent content by R Mbuna

  1. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

    Shit hole , Kama ni michezo na haijaazanza Leo kwa Nini mamlaka zisidhibiti? Na kwa Nini inatokea kwa wakosoaji wa serikali tu? Kuna nafasi za uongozi watu wakipewa ubongo unakua kama kinyesi tu. Huyu ni mwanachi anayetekwa na kudhurika lakini serikali inakuja kujitetea badala ya kuhatafuta...
  2. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Taifa ni wote sio la watu wa tabaka fulani.wote tunastahiki national cake. Ila kukimbia vita sio uoga bali ni kwenda kujipanga ili urejee ukiwa stronger. Wakati utafika .
  3. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ni bora kua mlevi wa gongo GT kuliko kua na elimu ya kukariri theory za watu. SAMUYA hatoshi pale. Genz wamefanikiwa pakubwa sana.
  4. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ukikaa na Jwtz wale wenye nafasi zq juu ukiwasikiliza wanapinga kabisa kukaa barabarani kama traffic officer tena kujihami dhidi ya mwananchi asyekua na mafunzo yoyote ya silaha . Ila kwa vile ni amri toka juu huwa hawana namna wanakubali tu ili kutoi mamlaka. Zaidi wanasema Genz wamefanikiwa...
  5. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mwenyekiti wa BAVICHA hajatekwa bali tunamshikilia kwa tuhuma za kughushi nyaraka

    Utaratibu uliotumika pia ulizua taharuki kwa sababu hata hao wengine walitoweka kwa njia hizi.
  6. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Tuwekeni hapa Summary ya Polepole ili watu waelewe

    Hatari sana. Samia Suluhu anasimama kwenye jukwaa la kampeni za uchaguzi mkuu anashindana hoja na Salum Mwalim , kula Luhaga Mpina. Angataka fair election angesimama na wenye nguvu wenziye kidogo ila hao wawili ni Tyson na Mandonga .
  7. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

    ...
  8. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Sio issue ya jinsia wala dini yake. Shida ni utawala wake haupo kufuata katiba. Kiongozi aliyeapa kuitetea na kuilinda katiba ya nchi leo anatoka hadharani na kusema katiba is just a paper!! . Huyu si layman wa utawala na anajua nguvu na umuhimu wa katiba katika maendeleo ya nchi.
  9. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Ila sidhani kama 2.5m unaweza kuishi kama upo peponi, unless otherwise hauna familia iliyoanza kwenda shule na basi la njano
  10. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Kinondoni yuko sawa kichwani kweli? Mtoto wa Rais ndiyo nani kwenye nchi? Wazazi wa watoto wengine wao hawana uchungu?

    Sasa hivi hakuna wawakilishi wa wnaanchi bungeni. Huyu ni miongini mwa wengi waliongia kwenye ubunge ili kulinda biashara zao.
  11. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Kwenye mikataba ya kisheria hii tunasema force majure.
  12. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

    Jana nilikua kwenye ofisi ya serikali tena taasisi ya kubwa tu hapa nchini. Walikua wanaangalia bunge la Kenya tena wanawasifia sana. Tanzania bunge letu halina ushawishi hata kidogo. Bunge halina uwezo wa kuwajibisha serikali zaidi ya kusifia serikali tu hata sehemu inayohitaji kukosoa wao...
  13. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa? Simulizi za waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania

    Hao walikua wahalifu , walikua wanatishia usalama wa watu wengine. Kupotea kwao kuna usalama kwa watu wengine.
  14. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Msemo gani unatumia kujifariji baada ya kumaliza pesa kwa matumizi ya kijinga au starehe?

    2007 huko. Na wanangu tumekula gambe then ile kuamka asubuhi hata hela ya kunywa supu hatuna. Ila usiku tulikua na kauli yetu " nani kaiona kesho" kuna wimbo unahiko kibwagizo ila sisi mpaka leo ndio kauli yetu ya kujitia moyo tukiwa tumeshatumia hela vibaya.
  15. R Mbuna

    JamiiForums Tanzania Vijana tunaomba umri wa kustaafu uwe miaka 45 hiari na 55 lazima

    Kwanza umeshasema siku ya wafanyakazi halafu wewe sio mfanyakazi nani atakupa nafasi ya kutoa hilo wazo lako. Subiri siku ya Jobless duniani ndio utoe wazo lako huenda likapewa kipaumbele. Waliopo kazini sidhani kama wanatamani kustaafu iwe kwa hiyari au lazima.
Back
Top Bottom