Recent content by R Jay Ngogo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

    Kabudi ni Rapper Wa Sheria Asiejua Kupangilia Mashairi.. Mungu kamjaalia Sauti Kali kama Punda Ila akiongea haeleweki zaid ya kusikia kelele kama za punda aliepotelewa na mwanae na ndio maana hamna kitu amefanya ktk issue y makinikia zaid y kutuaminisha uongo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwl. Richard Mabala: Hotuba za viongozi wetu huandaliwa hivi

    Hahahaaa.. Ukweli mchungu sana.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

    UuwszREWWQ@ Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Ni marufuku kuanzisha mijadala juu ya kutekwa kwa Billionea Mo Dewji

    Kama vp watufanye matahiea ili wafanye kila wanachotaka bla kuhojiwa..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni vitega uchumi gani kwa muda mfupi vimefanya jiji la Dodoma kuwa la kwanza kiuchumi ?

    Dodoma wamewekeza zaid kwenye Ombaomba.. Nadhani hicho ndio chanzo chao kikuu cha mapato..
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru kuzindua baa!!

    Mkuu.. Ulipata Nafasi Ya Kwenda Kushuhudia/Kujiridhisha Ulichoambiwa Au Uliridhika Na Hearsay..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

    Wakati mwingine kabla mtu hajateuliwa.. Apmwe afya na utmam wa akili yake.. Itasaidia kujiepusha na mengi..
  8. R

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Dah.. Asante Mungu..
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msimu wa wapinzani kumuunga mkono Rais Magufuli na kujiunga CCM umeisha?

    Bajet iliotengwa kwa ajili ya kununua wapnzani imekwisha.. Labda tusubri bajet ijayo coz ile biashara inahitaji hela nyingi na sasahiv wamestuka.. hawataki ahad.. wanataka watie chao mfukoni kwanza kabla y kuunga mkono juhudi za mh JIWE..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amzuia Waziri Mkuu Majaliwa kujibu swali la barua ya KKKT

    Taasis za dini zinapaswa kuwa Jeuri.. Wasikubali kupelekwa-pelekwa na wapumbavu wachache..
  11. R

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Naona aibu Prof. Kabudi kuwa mwalimu wangu

    Pole Halima.. Ila yakupasa kujua kuwa huo uongo ndio uliompa hiyo nafac.. Hivyo ni lazima ajidefend kwa njia hiyo-hiyo ya uongo..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Kilimo

    Program ya kilimo inazinduliwa ukumbini.. Wahudhuriaji hawajawah panda hata mche m1 wa mahindi/mhogo tangu walipotoka kijijini..
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania visiwani waomba msaada wa walimu toka Nigeria, wakati Bara kuna walimu hawana ajira

    Waachen WaZanzibar Wajiamulie Mambo Yao.. Muungano usiwe kero.. Sisi tusubir mgomo wa Waalim Kenya.. Huenda tukabahatika.. pia msisahau kaulimbiu ya HAPA KAZI TU maana siku hizi mmeipotezea.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Masalia ya Lowassa ndani ya CCM yanayopinga Sera za Rais Magufuli

    CCM ni kikundi cha walemavu wa akili.. Atokeapo mmoja miongoni mwao mwenye akili timam ni lazima wamsulubu..
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ripoti mali za CCM: Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki

    Aitikise Nchi Mara Ngapi.. Upotevu wa 1.5 trln ndio mtikisiko mkubwa kuliko yote ilioikumba nchi yetu..
Back
Top Bottom