Nimeona political analyst mmoja anahojiwa Al Jazeera anasema vita hii imechukua 4-5 days kwa usa kukamata anga la Iran kwasababu radar ya wairan haizisomi usa 4th-5th generaltion (F-16, F-22 or F-35) planes. Hii inafanya waisrael na usa kujipigia Iran watakavyo. Huyu political analyst anasema ni...
Sahihi kabisa ila kwa kutumia Google itakusaidia kuona picha zinazorushwa humu. Kama nilielewa vizuri tatizo unalopata maana nilikua nasumbuka hivi pia
Kuna mmoja wao ana copy kutoka kwa mwenzie. Mwenye story yake kaamua kusitisha ili amdhalilishe yule anayefanya plagiarism. Hii stroy imeisha/itaendelea endapo tu mwizi atajisalimisha
Mimi imenitokea sana scenario hii, naweza nisionane na mtu (+me/ke) hata mwaka au zaidi, na ikatokea siku tu nikamkumbuka/kumuwaza. Haipiti siku mbili/tatu LAZIMA either nikutane nae au anipigie simu. Hii kwenye ulimwengu wa roho imekaaje?
Nadhani utakumbuka pia kiburi cha Mkenya kiliishaje baada ya kuanza kuonyesha jeuri/ukaidi wa kujiona ni taifa huru, halipangiwi: mapigo ya Al Shabaab yakaanza non-stop, jamaa wanatoka Somalia hadi Nairobi na kwingineko wanapiga matukio wanaondoka, wakawa wanaua askari na wanajeshi kila kona...
Ukitaka kujua uwiano wa unachokisema angalia jinsi walivyoenda wao wenyewe pale central kumchukua Lissu baada ya kukamatwa, wakahakikisha anapata passport yake mpya huku wamempa hifadhi wiki nzima, wakampeleka kwa escort yao hadi JKNIA, wakampandisha ndege na wakahakikisha amefika salama. Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.