Recent content by queenstone

  1. queenstone

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana

    Hodiii wapendwa. Nimekuwa nikiperuzi humu kwa mda mrefu, leo nimeamua kuwa member rasmi. Naombeni mnipokee.
  2. queenstone

    JamiiForums Tanzania Kilimo,mifugo na uvuvi matokeo ya usaili vipi?

    Kuna tetesi kuwa hadi bunge la bajeti likae ndo hzo ajira zitolewe kwani kwa sasa serikali haina pesa. uvumilivu bado unahitajika
  3. queenstone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Learning to love..ts so beautiful!

    mmmh! mlimaliza 2011 right???
  4. queenstone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Learning to love, so beautiful (2)

    dah! i hope its not the couple i know.. kama ndio hii ninayoijua imeend up this way...its really touching..
  5. queenstone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Learning to love..ts so beautiful!

    mmmh! hii couple kama naijua vile..kulikuwa na couple kama hii pale sua yani iliacha historia.
  6. queenstone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa kutongoza mwanamke mbaya aka swag less

    Hujamvutia, tafuta unayeona ni type yako.
  7. queenstone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza

    Nashukuru Mungu aliyenipa moyo wa kuyashinda maumivu hayo..ninaumia kwa muda mfupi then namove on with my life.
  8. queenstone

    JamiiForums Tanzania Kilimo,mifugo na uvuvi matokeo ya usaili vipi?

    Dah! kiukweli hawa jamaa wanazingua sasa...ila kwa taarifa zisizo rasmi nasikia serikali kwa sasa haina pesa, hvyo tuendelee kuwa wavumilivu wapendwa.
Back
Top Bottom