Hello waungwana,niite Queen yes nimeolewa with two kids,Sasa bwana nina mpenzi wangu wa zamani kiufupi ni kwamba wote tunatakana tu hatukuwasiliana kama miaka saba hivi juz kati tumeanza mawasiliano tutakutana tutakiss kwenye gari ,nae ameoa na watoto wawili Sasa namuona kama vile hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.