Kwahiyo inakuuma mjamzito kulala!
Acha unyanyasaji. Mimba ni kitu cha kupita tu, miezi 10 maximum. Kuwa na huruma, mapenzi ni huruma.
Halafu mnaosema ooh “flani alibeba kuni tani mbili akiwa na mimba” please stop. Mimba hazilingani, wanawake hawalingani! Just because wewe hujawahi kusumbuliwa...
This is true ila lemme tell you Lucha…kuzaa, kulea sio rahisi kama uonavyo.
It changes you, your body, your likes, your beliefs, your priorities.
Kwanza ni hadi mtoto afike kama 1 year ndo unafeel like yourself. Akili ya kuwa sexy unaitoa wapi yaani.
Cha msingi, hakikisha mama ana msaada wa...
Mange may not be 100% right but she is 90% right. Kuna wauzaji waaminifu ila kuna wapigaji kibao. Hizi iPhone "za Makumbusho" ununue at your own risk.
Nilimpa rafiki yangu iphone yangu ya Makumbusho apeleke apple store US for fixing. Wakamuuliza "is this an iPhone?" Sirudii tena bora nitumie...
Hello,
Anahitajika mtaalamu wa Saikolojia (Certified Counselling Psychologist) kwa ajili ya kazi ya muda.
Aina ya kazi, malipo na mengineyo tutajadili huko.
Tafadhali tuma PM.
Asante.
Kinachoshangaza, wajawazito wanachanjwa, watoto wanachanjwa, watoto wa kike wanapewa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi ila ikija wa COVID ndo watu wanaleta uelewa wa chanjo.
Kama kweli chanjo zinadhuru mlikuwa wapi wakati tunachomwa nduiii!????
World Bank imetuchamba kizungu:
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi. Mara Warwick amesema katika hotuba yake kuwa Serikali ya Tanzania ilichukua hatua za mapema za kuondokana na athari za kiafya na kiuchumi za COVID-19 ingawa zilikuwa za kawaida sana na za muda mfupi kulinganisha na nchi...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa.
Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha.
Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe...
Correction
Hakuna Mbunge aliyewahi “kuombwa” na wananchi awawakilishe. Wabunge ndio huomba na wananchi huwapa ridhaa.
Hii mentality ya Mbunge kuonekana ni hero au messiah flani ndo inatucost kama nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.