Recent content by QUEEN SHAKIRA

  1. QUEEN SHAKIRA

    Hivi unajisikiaje ukimuona mwenzio katoboa wewe unapuyanga?

    Nimekaa hapa nakunywa chai yangu na kiporo, ghafla kaja shoga yangu hatujaonana miaka mingi. Anasukuma mgari, kapendeza huyo. Full kujidai! Nikijiangalia basi nliivyopuyanga, full kupauka. Kwakweli mimi hata sijui hata nielezeje hisia hizi. Ila wala sina wivu. Bali hisia fulani za kuumiza...
  2. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Jifanye hamnazo tu.. Nkupeleke wapi na mtumbo wako ka furushi la mwizi
  3. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Endelea na akili zako finyu..
  4. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Kuna kinachokuja na mabadiliko ya unene..lakini isiwe too much kama pichani
  5. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Umeumia?
  6. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Wewe tu Watu tunatofautiana sana
  7. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    [emoji119][emoji119] [emoji23][emoji23][emoji23] Wanakujaaa
  8. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Umeipenda?
  9. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Kata kitambiii
  10. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Hahaa Vyoteee
  11. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Ile mimafuta inayojirundika mbele naijiuliza hawaioni? Hata kama ni maisha mazuri na kuridhika ni ngumu kujali afya na muonekano?
  12. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Tafuta pesa
  13. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
  14. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Una kitambi?[emoji4]
  15. QUEEN SHAKIRA

    Sivutiwi na wanaume wenye vitambi

    Mtu yeyote mwenye kitambi namuona mvivu au mzembe kwa afya yake
Back
Top Bottom